Hao ambao hawataenda mbinguni,pia siyo Kila mtu akifa anaenda mbinguni.
Ili mladi uchanganyikiwe๐Ukizaliwa tuu blah blah zinaanza, mara adamu dhambi zake, mara kuna heaven, mara kuna hell .... ๐
Ili mladi uchanganyikiwe๐
Hii dunia tafrani wallahNa uteseke tuu! ๐
Hii dunia tafrani wallah
Tuna vifahamu tukiwa tumechelewa na hakuna optionDunia uwanja wa fujo, bahati mnaya kuna vitu vinhibsana tunakuja vifahamu uhalisia wale kwa kuchelewa sana!
Starehe za watu wengine ndio zimefanya tuzaliwe.Ukizaliwa tuu blah blah zinaanza, mara adamu dhambi zake, mara kuna heaven, mara kuna hell .... ๐
Tuna vifahamu tukiwa tumechelewa na hakuna option
Ila wewe ukaona mfano ni kuoana๐Option ipo unaachana navyo! ๐
Kuna age ukifika, unaacha kuchukulia baadhi ya vitu serious. Kama hivyo, kuoana n.k
Ila wewe ukaona mfano ni kuoana๐
Hilo tayali nilishalipuuza
Badala yake nakunywa bia๐ป
Hakuna umepiga mle mle ๐Haya nafuta huo mfano. ๐
kuzaliwa tunajua tunatoka wapi mtoa mada akasome reproduction kwa kina