Mutangi
Senior Member
- Oct 13, 2020
- 128
- 248
Japo wakati mwingine mpira unakuwa na matokeo ya kushangaza lakini kuna wakati lazima uonyeshe uwezo ili uweze kuwa bingwa. Yanga wametembelea ngekewa hadi kufika fainali. Kwanza kucheza shirikisho halikuwa lengo lao wakati msimu unaanza. Lengo lilikuwa kucheza Champions league ambapo tangu karne ya 21 ianze hawajui michuano hii inafananaje. Kwa sababu ya uwezo mdogo wakatolewa wakaangukia shirikisho.
Ukiangalia njia waliyopitia hadi kufika final unaona kabisa walikuwa wanakutana na timu mbovu. Hawa waarabu tangu mashindano yaanze hawajawahi kushinda ugenini ila leo wamemfunga yanga ugenini. Tena ni vile tu walicheza kwa kujihami lakini ni dhahiri kuwa wakitaka kufunga anytime wanaenda wanafunga.
Kwa mtu wa mpira hapaswi kuumia japo kufungwa inauma. Hatua waliyofika msimu huu ni kubwa sana kwa upande wao, ni hatua ambayo hawajawahi kuifikia. Swali la kujiuliza ni je wataweza kufika huko kwenye msimu unaokuja? Kama msimu huu umefika fainali maana yake msimu unaofuata usipofika final unakuwa umeunderperform.
Mashabiki wa yanga wanaona Champions league haina tofauti na confederation. Wanaona Simba kutolewa robo fainali na bingwa mtetezi ni udhaifu kwa simba. Mimi natamani msimu ujao yanga wafuzu kucheza Champions league tuone kama watafika hata hiyo robo.
Mwsho kabisa niwashukuru waarabu kwa kutuletea utulivu, maana hali ilikuwa ngumu, kelele zilikuwa nyingi mno.