BodGanleonid
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 3,021
- 4,330
True, mvua nayo imekuwa kama ka uchawi fulani hivi.Tusubiri tuone
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
True, mvua nayo imekuwa kama ka uchawi fulani hivi.Tusubiri tuone
[emoji23] mvua nayo ilikuwa uchawi tosha kwa yanga leo, me nahakika waarabu wataenda kuumia si chini ya goli 2 kwao.Wale hawana cha kupotezaaa, kule wao ni mashambulizi mwanzo mwengaaaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mtaonaaaaa
Halafu pia watakuwa wanacheza huku wakijilinda, the same thing kwa kilichotokea kwa wanayanga, so kule yanga wanapaswa wakampelekee moto haswa mwarabu.Wale hawana cha kupotezaaa, kule wao ni mashambulizi mwanzo mwengaaaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mtaonaaaaa
Hakuna kitu paleee miku@d yao inanuka tuu,yaani yanapigwa bao hata na singida wanamchukua mbegu !aseeeee yameniudhi sana yale masengerema sema basi tuu.Na kukumbatia wachezaji wazee. Labda super league itawaamsha usingizini, ngoja tuone.
Tunajiandaa Kupindua Matokeo Haya Home Kwao Tena HawataaminiWalikuwa na bahati sana hawa jamaa
Thubutuuuuuuuuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mvua nayo ilikuwa uchawi tosha kwa yanga leo, me nahakika waarabu wataenda kuumia si chini ya goli 2 kwao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unaonaga waarabu wakiwa kwaoo?? Jinsi wanavyo cheza?Halafu pia watakuwa wanacheza huku wakijilinda, the same thing kwa kilichotokea kwa wanayanga, so kule yanga wanapaswa wakampelekee moto haswa mwarabu.
yaani hichi ulichoandika we ndo unajua mpira???KWELI BORA ANDAZIJapo wakati mwingine mpira unakuwa na matokeo ya kushangaza lakini kuna wakati lazima uonyeshe uwezo ili uweze kuwa bingwa. Yanga wametembelea ngekewa hadi kufika fainali. Kwanza kucheza shirikisho halikuwa lengo lao wakati msimu unaanza. Lengo lilikuwa kucheza Champions league ambapo tangu karne ya 21 ianze hawajui michuano hii inafananaje. Kwa sababu ya uwezo mdogo wakatolewa wakaangukia shirikisho.
Ukiangalia njia waliyopitia hadi kufika final unaona kabisa walikuwa wanakutana na timu mbovu. Hawa waarabu tangu mashindano yaanze hawajawahi kushinda ugenini ila leo wamemfunga yanga ugenini. Tena ni vile tu walicheza kwa kujihami lakini ni dhahiri kuwa wakitaka kufunga anytime wanaenda wanafunga.
Kwa mtu wa mpira hapaswi kuumia japo kufungwa inauma. Hatua waliyofika msimu huu ni kubwa sana kwa upande wao, ni hatua ambayo hawajawahi kuifikia. Swali la kujiuliza ni je wataweza kufika huko kwenye msimu unaokuja? Kama msimu huu umefika fainali maana yake msimu unaofuata usipofika final unakuwa umeunderperform.
Mashabiki wa yanga wanaona Champions league haina tofauti na confederation. Wanaona Simba kutolewa robo fainali na bingwa mtetezi ni udhaifu kwa simba. Mimi natamani msimu ujao yanga wafuzu kucheza Champions league tuone kama watafika hata hiyo robo.
Mwsho kabisa niwashukuru waarabu kwa kutuletea utulivu, maana hali ilikuwa ngumu, kelele zilikuwa nyingi mno.
Ngoja niiquote kabisa hii comment [emoji4]Thubutuuuuuuuuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dah kwa kilicho happen jana nimeshindwa hata kukujibu kwamba "unawaona yanga wanavyochezaga wakiwa kwa mkapa" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unaonaga waarabu wakiwa kwaoo?? Jinsi wanavyo cheza?
Iyo ngekewa mbona imekushinda wewe kwa misimu 4 mfululizo? Ngekewa kama ni rahisi wewe ilikushindaje kwa miaka 4? Wewe uliyekutana na wakina de agosto ihefu wa bongo au wakina big bullett ruvu shooting iliyochangamka ndio ulipita kwenye njia ngumu? Ulipewa kichwa na mungu kutunza akili na sio kutunza makamasi ebho!!Japo wakati mwingine mpira unakuwa na matokeo ya kushangaza lakini kuna wakati lazima uonyeshe uwezo ili uweze kuwa bingwa. Yanga wametembelea ngekewa hadi kufika fainali. Kwanza kucheza shirikisho halikuwa lengo lao wakati msimu unaanza. Lengo lilikuwa kucheza Champions league ambapo tangu karne ya 21 ianze hawajui michuano hii inafananaje. Kwa sababu ya uwezo mdogo wakatolewa wakaangukia shirikisho.
Ukiangalia njia waliyopitia hadi kufika final unaona kabisa walikuwa wanakutana na timu mbovu. Hawa waarabu tangu mashindano yaanze hawajawahi kushinda ugenini ila leo wamemfunga yanga ugenini. Tena ni vile tu walicheza kwa kujihami lakini ni dhahiri kuwa wakitaka kufunga anytime wanaenda wanafunga.
Kwa mtu wa mpira hapaswi kuumia japo kufungwa inauma. Hatua waliyofika msimu huu ni kubwa sana kwa upande wao, ni hatua ambayo hawajawahi kuifikia. Swali la kujiuliza ni je wataweza kufika huko kwenye msimu unaokuja? Kama msimu huu umefika fainali maana yake msimu unaofuata usipofika final unakuwa umeunderperform.
Mashabiki wa yanga wanaona Champions league haina tofauti na confederation. Wanaona Simba kutolewa robo fainali na bingwa mtetezi ni udhaifu kwa simba. Mimi natamani msimu ujao yanga wafuzu kucheza Champions league tuone kama watafika hata hiyo robo.
Mwsho kabisa niwashukuru waarabu kwa kutuletea utulivu, maana hali ilikuwa ngumu, kelele zilikuwa nyingi mno.
Msiwe mnajibatiza uwezo àmbao hamna. Hakuna mpira wowote unaoujua labda wa Pete.Japo wakati mwingine mpira unakuwa na matokeo ya kushangaza lakini kuna wakati lazima uonyeshe uwezo ili uweze kuwa bingwa. Yanga wametembelea ngekewa hadi kufika fainali. Kwanza kucheza shirikisho halikuwa lengo lao wakati msimu unaanza. Lengo lilikuwa kucheza Champions league ambapo tangu karne ya 21 ianze hawajui michuano hii inafananaje. Kwa sababu ya uwezo mdogo wakatolewa wakaangukia shirikisho.
Ukiangalia njia waliyopitia hadi kufika final unaona kabisa walikuwa wanakutana na timu mbovu. Hawa waarabu tangu mashindano yaanze hawajawahi kushinda ugenini ila leo wamemfunga yanga ugenini. Tena ni vile tu walicheza kwa kujihami lakini ni dhahiri kuwa wakitaka kufunga anytime wanaenda wanafunga.
Kwa mtu wa mpira hapaswi kuumia japo kufungwa inauma. Hatua waliyofika msimu huu ni kubwa sana kwa upande wao, ni hatua ambayo hawajawahi kuifikia. Swali la kujiuliza ni je wataweza kufika huko kwenye msimu unaokuja? Kama msimu huu umefika fainali maana yake msimu unaofuata usipofika final unakuwa umeunderperform.
Mashabiki wa yanga wanaona Champions league haina tofauti na confederation. Wanaona Simba kutolewa robo fainali na bingwa mtetezi ni udhaifu kwa simba. Mimi natamani msimu ujao yanga wafuzu kucheza Champions league tuone kama watafika hata hiyo robo.
Mwsho kabisa niwashukuru waarabu kwa kutuletea utulivu, maana hali ilikuwa ngumu, kelele zilikuwa nyingi mno.
Punguza makasiriko ndugu. Tupo tunaenjoy utulivu ulioletwa na waarabuIyo ngekewa mbona imekushinda wewe kwa misimu 4 mfululizo? Ngekewa kama ni rahisi wewe ilikushindaje kwa miaka 4? Wewe uliyekutana na wakina de agosto ihefu wa bongo au wakina big bullett ruvu shooting iliyochangamka ndio ulipita kwenye njia ngumu? Ulipewa kichwa na mungu kutunza akili na sio kutunza makamasi ebho!!
ungeandika kabla ya mechi kuchezwa ungeeleweka, matokeo yameshatoka ndio unajifanya unajua mpira? WE HUNA TOFAUTI NA WALE WACHAMBUZI WA MPIRA WA RADIO FREE AFRICAJapo wakati mwingine mpira unakuwa na matokeo ya kushangaza lakini kuna wakati lazima uonyeshe uwezo ili uweze kuwa bingwa. Yanga wametembelea ngekewa hadi kufika fainali. Kwanza kucheza shirikisho halikuwa lengo lao wakati msimu unaanza. Lengo lilikuwa kucheza Champions league ambapo tangu karne ya 21 ianze hawajui michuano hii inafananaje. Kwa sababu ya uwezo mdogo wakatolewa wakaangukia shirikisho.
Ukiangalia njia waliyopitia hadi kufika final unaona kabisa walikuwa wanakutana na timu mbovu. Hawa waarabu tangu mashindano yaanze hawajawahi kushinda ugenini ila leo wamemfunga yanga ugenini. Tena ni vile tu walicheza kwa kujihami lakini ni dhahiri kuwa wakitaka kufunga anytime wanaenda wanafunga.
Kwa mtu wa mpira hapaswi kuumia japo kufungwa inauma. Hatua waliyofika msimu huu ni kubwa sana kwa upande wao, ni hatua ambayo hawajawahi kuifikia. Swali la kujiuliza ni je wataweza kufika huko kwenye msimu unaokuja? Kama msimu huu umefika fainali maana yake msimu unaofuata usipofika final unakuwa umeunderperform.
Mashabiki wa yanga wanaona Champions league haina tofauti na confederation. Wanaona Simba kutolewa robo fainali na bingwa mtetezi ni udhaifu kwa simba. Mimi natamani msimu ujao yanga wafuzu kucheza Champions league tuone kama watafika hata hiyo robo.
Mwsho kabisa niwashukuru waarabu kwa kutuletea utulivu, maana hali ilikuwa ngumu, kelele zilikuwa nyingi mno.
HaswaaaaahNgoja niiquote kabisa hii comment [emoji4]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shabiki wa yangaaa unatesekaa ukiwa wapiiii?? Tatizo hujuagi kujifichaaaa, eti neutral shabikiMsiwe mnajibatiza uwezo àmbao hamna. Hakuna mpira wowote unaoujua labda wa Pete.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hadi hapo jibu unaloo sasaDah kwa kilicho happen jana nimeshindwa hata kukujibu kwamba "unawaona yanga wanavyochezaga wakiwa kwa mkapa" [emoji23]