Acha tukae kwa kutulia, gemu haiko mbali mbona.Wale jamaa mkisema muwadharau kwa kiwango hicho mtaoga mengi sana, hamuwezi kucheza mchezo wa kupishana na mwarabu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeee weeeThat day hutaamini kitakachotokea mkuu [emoji4]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu weuweeeeeeeeSijui waliona wapi mwarabu anacheza game ya kujilinda akiwa kwao, waarabu wakiwa kwao huwa wanamwaga moto wote, wasitarajie kuwaona hata wakijingusha.
Lazima wachapike kuanzia goli mbili.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi bao LA 2 unalizungumziajeee???Mpira wa Yanga umeonekana possession 60% waarabu walipata bahati tu.
Haijaisha mpaka iishe!
Tusubiri kwao , hii mechi ilikuwa ngumu kama nusu fainali. Fainali yenyewe kwa Mwarabu.
Kiufundi Nabi alichelewesha sub, Aucho pengo lilionekana, timu ilikosa balance.
Aziz Ki alitaka kufunga tu hakugawa mapande ya Upendo kama Morisson.
Mayele hakupata usaidizi na akawa anacheza pembeni,
Refa alitunyima penati na kutubana sana.
Waarabu walijiangusha mno mechi haikuwa na ladha.
Kazi Bado IPO Makolo msijisifu utulivu subirini tufungwe marudiano mmeanza mapema kushangilia ujinga