emmanuel magige
Member
- Jul 14, 2012
- 60
- 4
kuna habari nimezipata lakn cna uhakika nazo kuwa matokeo ya clinical officer yametoka na wamebandika majina ya waliochaguliwa hapo wizara ya afya mie nko nje ya Dar. Km kuna m2 ana uhakika hz taarifa anijulishe.
wewe hujapata habari popote usizingue wenzio..sema kama unataka watu wakakutazamie kijanja.
Hivi selection ya walioomba wizara ya afya imetoka, na huwa inawekwa sehemu zipi maana kimya kingi.
Tafadhali tupeane updates!
hata mm nackia hivyo mkuu..halafu mbona web yao haifunguki?
Matokeo bado hayatoka,web yao haifunguki kwa sababu wapo kwenye mantanace program,kwa taarifa matokeo yanatoka kuanzia jumatatu
J3 tar 15 yatatolewa
Yanatoka kuanzia jtatu ya wiki hii kuripoti vyuoni ni kuanzia 11/11/2012