Nawafahamu sana hawa CO, ni ngazi ya diploma na ili uende huko ni lazima uwe umeangukia pua katika masomo yako ya f.VI zamani hata std 7 walikuwa wanaruhusiwa kujiunga na vyuo vya utabibu.
Katika kuogopa uharibifu wao serikali imeondoa hawa watu kutibu katika ngazi ya hospitali na wanatibu katika ngazi za health centre na zahanati tu.
Nchi nyingine hakuna kada hiyo katika kada za afya lakini pia jiulize mtu aliyefeli masomo ya kidato cha nne/sita unaweza kumruhusu amtibu mwanao? Afya ya mtu haifanyiwi majaribio.
UKWELI NI MGUMU KUMEZA!en.m.wikipedia.org/wiki/Clinical_officer