rombo girl
Member
- Oct 6, 2012
- 19
- 0
ndebile, hata kam kungekuwa na ukweli wowote ktk ulosema, watz tunashuhudia kazi nyingi nzuri ambazo CO wanafanyia jamii
Nawafahamu sana hawa CO, ni ngazi ya diploma na ili uende huko ni lazima uwe umeangukia pua katika masomo yako ya f.VI zamani hata std 7 walikuwa wanaruhusiwa kujiunga na vyuo vya utabibu.
Katika kuogopa uharibifu wao serikali imeondoa hawa watu kutibu katika ngazi ya hospitali na wanatibu katika ngazi za health centre na zahanati tu.
Nchi nyingine hakuna kada hiyo katika kada za afya lakini pia jiulize mtu aliyefeli masomo ya kidato cha nne/sita unaweza kumruhusu amtibu mwanao? Afya ya mtu haifanyiwi majaribio.
UKWELI NI MGUMU KUMEZA!en.m.wikipedia.org/wiki/Clinical_officer
Najiuliza hivi: Huu ujinga wanaoufanya ma-clinical officer huku makazini, na bado ma-losers wengine wanaingia kwenye fani kuja kutuua! Serikali futa hii kada, hawa waganga ni wauaji tu!
Jumatatu ndo hii hapa! Je? Matokeo ya wizara ya afya yatatoka kweli kama walivyosema yanatoka leo?
Tupia chochote kama una details zozote!
Anaweza kusoma course ka MD(MEDICAL DOCTOR),AMO(ASSTANT MEDICAL OFFICER) na nyingine nyingi
muda unakwenda au wao wanaamini kuwa juma tatu haijafika......?
msiwe na shaka ni jumatatu ijayo kueni na subira
Yanatoka kuanzia jtatu ya wiki hii kuripoti vyuoni ni kuanzia 11/11/2012
jaman mlioko Dar mkutane wizaran
kwan c mnajua viongoz wt
walikwsha zoea kusukumwa