Soma title ya jukwaa usikaSijui umeandika nn yaan thread za kipind hiki hivi mods mpo wap mnaruhusu ujinga kama huu humu ndani
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahahaaa mkuu unabishana na zero iq so sad sijui wewe utakua -ve iq maana kumuelewesha chizi masomo ya nursery kunahitaj phdSijui umeandika nn yaan thread za kipind hiki hivi mods mpo wap mnaruhusu ujinga kama huu humu ndani
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahhahaha , filimbi kwenye au misumari kwenye makalioKama ulivyosikia Mpenzi Mtazamaji...
Manji ana Chuma kwenye Moyo, Habinder Singh ana Puto tumboni, hivyo ukija kusikia Rugemalila ana Kokoto kwenye Ugoko na Malinzi ana filimbi kwenye ini usishangae.
Saa mbaya hizi usipokuwa makini unaweza kumeza hata "Chemli"
Hiki ni kipindi kigumu mpaka nyuzi za humu JF zimeathirika!Sijui umeandika nn yaan thread za kipind hiki hivi mods mpo wap mnaruhusu ujinga kama huu humu ndani
Sent using Jamii Forums mobile app