Kama Ulivyosikia Mpenzi Mtazamaji..!

Kama Ulivyosikia Mpenzi Mtazamaji..!

Mkuu;
Hapa ndipo utaalam unazidiana. Kama mkiendelea kuwashikilia, wakaja kuwafia mikononi mwenu ulimwengu mzima mtanuka. Shauri lenu. Acheni kucheza kamari na maisha/uhai wa wengine
 
Kama ulivyosikia Mpenzi Mtazamaji...
Manji ana Chuma kwenye Moyo, Habinder Singh ana Puto tumboni, hivyo ukija kusikia Rugemalila ana Kokoto kwenye Ugoko na Malinzi ana filimbi kwenye ini usishangae.
Saa mbaya hizi usipokuwa makini unaweza kumeza hata "Chemli"
Hahhahaha , filimbi kwenye au misumari kwenye makalio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom