Hivi hii last ship bado inaendelea? nakumbuka niliishia season 5
Bonge LA series
aki maliza hiyo atafute last kingdom kwan story inaendelea hukoAchana na Last ship itakuboa tu Anza na Viking mzee utajua wapagan walivo wasurubu wakristu wa England na France bonge moja la series kama umeielewa GOT bac Viking ndo mahara pake lost niliona mpak season 2 mwanzon mwanzon tu nikatupa season 1 kiukwel iko hot
ni kwel kabisa, utulivu na uwezo wa kuunganisha matukio una hitajika kwan lost imetumia nyakati zote tatu uliopita, uliopo, na ujao, kwa upande wangu nimeinjoy sana.Lost inahitaji umakini kuielewa maana wamechanganya matukio
U echoed my mind.Hiki ukichokisema umeongea kila kitu kwa niaba yangu pia.Series ya Lost ni nzuri ukiiangalia ukiwa umetulia ila mwishoni mwishoni walikosa waliniboa walikosa wahusika ikabidi wajirudie rudie mpaka ambao walishakufa...
Mwanzo ni mzuri coz hujui what event come next japo mtunzi katumia mtindo wa kuchanganya mwisho kuwa mwanzo na mwanzo kuwa mwisho inahitaji utulivu uielewe
Inahitaji utulive sana kuielewa.Sema Jack ana bore sana...mzembe sana when it comes to affair na kutumia fursa kwa watoto wazuri.ustaarab mwingi mpaka keroLOST mbona ni nzuri sana, YAANI sana.
Inahitaji utulive sana kuielewa.Sema Jack ana bore sana...mzembe sana when it comes to affair na kutumia fursa kwa watoto wazuri.ustaarab mwingi mpaka keroLOST mbona ni nzuri sana, YAANI sana.
Last Ship.Kama uliwahi kuisifia series hii inayoitwa Lost humu JF njoo pm nikuchape vibao.
Kuna watu wanaingizana mkenge humu, Wanakisifia kitu ila ukitizama ni uchafu mtupu. J.J.Abrams ni moja ya Director na Creators mzuri ninayemkubali baada ya Russo Brothers,David Cameron,Mel Gibson,Zack Snyder,D.Weiss&D Benioff ila kwa hii series Kaniangusha sana.
Mlio isifia hii series hongereni kwa kunipotezea muda!!
Uliyenishauri kutizama G.OT Ahsante sana..nitakusifu siku zote.
Haya niambieni kati ya Last Ship na Viking niangalie ipi?