carcinoma
JF-Expert Member
- Mar 5, 2017
- 5,059
- 13,771
Nimeangalia hadi season ya 5
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeangalia hadi season ya 5
I was 23 years old, when Americans came to my country
I was a good man, I was a soldier
And when they left!!
I was something different, for the next six years
I did things I wish I could erase from my memory
Things I never told myself to be capable of.
But I did come to learn this, there was a part of me which was always capable of.
You want to know who I am..
My name is Sayyid Jarrah…And I am a Torturer
LOST....
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatari sana
Mule kuna watu kama akina Sawyer, John Locke, Sayid, Kate
Ngoma ina flashback za kufa mtu
Very creative series
This place (Island) is different : John Locke
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeangalia hadi season ya 5
Nimeangalia hadi season ya 5
Kweli kabisa.Uzuri zaidi wa lost wale jamaa waliinvest kwenye story,hakuna sex scenes za ovyo ovyo au ishu za mashoga kama series za sikuhizi.
Kwahiyo una weza cheki hata na mdogo wako wa miaka 2 bila kuforward.
4815162342
Baada ya ragnar kufa series inapoteza utamu...floki anakuwa wa kifala ubabe unapungua.... Series inapoteza makali yake....baadae bjorn ndo atakuwa king na his brothers blah blah blah nimeamua kuipotezea....ila s1 to 3 chuma ni cha motoViking niliangalia mpk S3 kama sijakosea King Ragnar alivyoanza kuzingua na kubatizwa nikaacha kuichek. Vp wale watoto wake waliendeleza vzuri?
Sent using Jamii Forums mobile app
Inahusiana na Nini hiyo?ukimaliza LOST njoo tuangalie WESTWORLD
![]()
![]()
![]()
Inahusiana na Nini hiyo series?
Angalia The Last ShipKama uliwahi kuisifia series hii inayoitwa Lost humu JF njoo pm nikuchape vibao.
Kuna watu wanaingizana mkenge humu, Wanakisifia kitu ila ukitizama ni uchafu mtupu. J.J.Abrams ni moja ya Director na Creators mzuri ninayemkubali baada ya Russo Brothers,David Cameron,Mel Gibson,Zack Snyder,D.Weiss&D Benioff ila kwa hii series Kaniangusha sana.
Mlio isifia hii series hongereni kwa kunipotezea muda!!
Uliyenishauri kutizama G.OT Ahsante sana..nitakusifu siku zote.
Haya niambieni kati ya Last Ship na Viking niangalie ipi?