Kama uliwahi kuisifia series ya LOST njoo hapa

Kama uliwahi kuisifia series ya LOST njoo hapa

Achana na Last ship itakuboa tu Anza na Viking mzee utajua wapagan walivo wasurubu wakristu wa England na France bonge moja la series kama umeielewa GOT bac Viking ndo mahara pake lost niliona mpak season 2 mwanzon mwanzon tu nikatupa season 1 kiukwel iko hot
Angalia "The following" ndio utajua wapagan sio watu
 
Lost nilazima akili itumike sana.
Mfano baada ya ile ndege kuanguka watu karbia wote walifarik mpaka jack. Hayo matukio yote uliona kwenye season 1 & 2 haviku real ilikua nimawazotu yamuda mfupi kabla kufa.
Atakaweza kuielewa lost anaweza kuelewa kitu chochote hatakiwe complicated kias gani
Ma mke mbona mm nashindwa kuiinjoi..Mimi napenda series akili itumike sana sana. Sio vitendo tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sema hivi ,akili ndogo..hyo series kama una akil za kuangalia tamthilia za kikorea au muv za kihind or bongo huwez ipenda hyo

Series inataka utulie usikilize neno moja moja...

Wanasema ile ndege ya malaysia ndo ilitoweka kwa style ile,na ndege znazotoweka kwenye Bermuda Triangle

Hyo series inaeleza conspiracy theories nying sana kama
1.time travel
2.illuminati
3.magnetic field spectrum
4.Bermuda Triangle

Kama akili ndogo huwez ipenda hata sku1
Utapenda series za kupigana pigana tu na ma zombie

Comment tayar
Comment ya kibabe
 
Nakumbuka nilikua nafanya special test na UE Open University, pia nilikua na test taasis nyingine siku hio hio, then nilikua addict wa LOST nakumbuka nilitoboa mpaka saa kumi na moja asubuh naangalia lost nilienda kuoga tu nkazama chuo niliacha blank booklet nikakimbia kabla sijasin niliona chenga tu thanks Lord lile somo lilikua elective tu
Halafu mtu anakuja anaiponda tu kirahis rahis ila sishangai maana hata those day tulikua hatuwashauri jamaa zetu vilaza kuangalia ile kitu
 
Nakumbuka nilikua nafanya special test na UE Open University, pia nilikua na test taasis nyingine siku hio hio, then nilikua addict wa LOST nakumbuka nilitoboa mpaka saa kumi na moja asubuh naangalia lost nilienda kuoga tu nkazama chuo niliacha blank booklet nikakimbia kabla sijasin niliona chenga tu thanks Lord lile somo lilikua elective tu
Halafu mtu anakuja anaiponda tu kirahis rahis ila sishangai maana hata those day tulikua hatuwashauri jamaa zetu vilaza kuangalia ile kiti
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] ulitisha sana mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama uliwahi kuisifia series hii inayoitwa Lost humu JF njoo pm nikuchape vibao.
Kuna watu wanaingizana mkenge humu, Wanakisifia kitu ila ukitizama ni uchafu mtupu. J.J.Abrams ni moja ya Director na Creators mzuri ninayemkubali baada ya Russo Brothers,David Cameron,Mel Gibson,Zack Snyder,D.Weiss&D Benioff ila kwa hii series Kaniangusha sana.
Mlio isifia hii series hongereni kwa kunipotezea muda!!

Uliyenishauri kutizama G.OT Ahsante sana..nitakusifu siku zote.

Haya niambieni kati ya Last Ship na Viking niangalie ipi?
Lost nimeiona 2008 wewe unaangalia leo...? Lazima itakuwa imeisha utamu tu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Series ya moto sana hiii mkuuu
ukimaliza LOST njoo tuangalie WESTWORLD
0*9MkZMQss5hAY3vjq.jpg
21c4b315a066b97e635aafb9cb5d0fcd.jpg


man-in-black-hat.gif

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukimaliza hizo ulizotajiwa kuna series nyingine kali kama
Dexter(hii inahusu serial killer anaeua serial killer wenzake),13 reasons why,Stranger things ,Narcos,The 100,Handmaids tale,westworld.Nenda kaangalie hizi hutojutia huo mda.
 
Back
Top Bottom