Kama uliwahi kula mishkaki ya mia mia, Morogoro basi uliwahi kula mbwa, jamaa wamekamatwa huko

Kuna siku pale bunju b nilikula mishikaki mitamuuu mmoja unauzwa 300.
Tangu siku ile kila nikipita Yule muuzaji simuoni tenaa.
 
Kuna kipindi nilikua natoka arusha kwenda mbeya kupitia morogoro, nikanunua chips na mishkaki, nlipokula nilitapika balaa na sijawahi kutapika kwenye gari.. inawezekana ilikua nyama ya mbwa
Haitapishi labda kama hawakutumia yale mafuta ya kono kono waliokua wakubwa
 
Hivi mtu unanunuaje mshikaki wa mia?[emoji2365]
Mkuu ...umaskini mbaya sana.

Matembele yanachosha sana....sasa mtu ana hamu na nyama afu kaona mshikaki shilingi mia tena VAT Inclusive lazima anunue tu.

Sasa mtu anakula utumbo wa kuku unadhani ataacha mshikaki wa Umbwa??

Ubungo enzi zile kuna mataa...watu walilishwa sana kunguru wanaambiwa ni Kuku

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Daah ngoja nimtumie hii Link bro miki[emoji23][emoji23][emoji23] tutakua tumekula nae mbwa wengi sana asee
 
Hawa jamaa watakuwa wamemchuna na mbwa wa Wema Sepetu
 
Kwa taarifa yako ni kwamba wapo wanaouza mishkaki ya nyani sana tu labda wahusika hawajafuatilia, endeni pembezoni mwa mji pelelezi mtaambiwa
Mishikaki ya nyama ya nyani ni tamu sana, niliitafuna pale Busia bila kujua.
Hata baada ya kuambiwa sikuacha kununua kila nipitapo
 
The first animal to be domesticated was THE DOG

Hii inamaanisha kuwa mbwa alikuwa ni mnyama anayeliwa.

#siungimkonouliwajiwanyamayambwa
 
Kuna yule mpemba pale Masika anauza mishikaki na ndizi miaka nenda rudi, naimani yeye hausiki,
[emoji3064][emoji3064]
Inaonekana wewe ni mteja sana hapo😃😃😃😃 ushapiga woo woo😃😃
 
Hivi wakigeuza maelezo kuwa hicho walichokuwa wakiandaa kilikuwa ni kitoweo chao na kwamba wao hutumia nyama ya mbwa na hawauzii watu.

Je kuna vielelezo vyovyote vya rejea ku back up matendo yao ya nyuma kujulisha walishawauzia nyama hiyo raia?
 
Mitamu sana aise mi nlifikiri ya mbuzi beberu
View attachment 1766853View attachment 1766854
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…