Kama ulizaliwa baada ya mwaka 1995 haya mambo yalikupita

Kama ulizaliwa baada ya mwaka 1995 haya mambo yalikupita

Kumsubiri demu chini ya mti kwa masaa zaidi ya manne
 
Yani ata kabla ya kumaliza kusoma post yako, nilihisi utakua jamaa kutoka mwanza tu wew, maana majina ya michezo na mtililiko mzima una utofauti na sehemu zingine.
Shukrani kwa ukumbusho.
Kanda ya ziwa kwa ujumla
 
Kucheza kamari ya mabetri na gololi,mpira wa visoda,nduti,kuendesha ringi na magari ya waya,box na mbao,kushinda kukojoa mkojo mrefu,dobo dunda au tobo dunda,mchezo wa wali na nyama mnaweka kimlima cha mchanga na kijiti katikati mnaanza kuupunguza mchanga olewako ukiangushe kijiti ni mkong'oto mpaka ukimbie kushika mahali mlipo pateuwa,kucheza sembo(mpira wa malailoni) mnatoka kilimahewa hadi nera au isamilo
Dah mkuu, kwenye kwenda kushika mti ni balaaaaaa, utapigia kweli kweli dah.
 
Dah mkuu, kwenye kwenda kushika mti ni balaaaaaa, utapigia kweli kweli dah.
Kuna wababe walikuwa wanaangusha maksudi alafu ana watolea macho kila mtu anagwaya akiangusha mara tatu mchezo unaisha
 
Nayakumbuka mafuta kupaka raise, bodyline ya chupa na ya kupikia ya mgando yaliitwa kimbo!
 
mkifunga shule sekondari unarudi kijijini unaonekana we ndio msomi na ukiongea kiingereza tu, kijiji chote wanakuheshimu
 
kumuwekea mwalimu wa kike au mwanafunzi wa kike kioo chini ya dawati lake, halafu unakaa pembeni unaona reflection yote
 
Aisee nimecheka balaaa...huyu jamaa aliyeandika hii kitu ni kiboko kwa kumbukumbu
 
Back
Top Bottom