Kama umakini haupo Kwa Ili la umeme nyuklia Tanzania uwezi kuwepo

Kama umakini haupo Kwa Ili la umeme nyuklia Tanzania uwezi kuwepo

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
5,771
Reaction score
14,732
Umeme wa nyuklia ni umeme mkubwa sana ambazo hauna siasa Wala mjadala.
Ila Kwa hapa Tanzania tunayo yaona kukosa umakini kwenye idara nyingi mfano Tanesco basi tunaweza kusabisha majanga.

Kilicho nikumbusha Ili ni kile kinu Cha ukrain kilicholipuka miaka sovient na Cha pili kule japani kilicho pasuka
 
Back
Top Bottom