L Leekim49 Member Joined Jun 8, 2024 Posts 46 Reaction score 82 Jun 11, 2024 Thread starter #21 5G NETWORK COVERAGE said: View attachment 3014525 Click to expand... Hahaha😂😂😂
L Leekim49 Member Joined Jun 8, 2024 Posts 46 Reaction score 82 Jun 11, 2024 Thread starter #22 Johnny Impact said: Dhambi kwa waislamu ni kula nguruwe. Kuwa na mchepuko kwao siyo dhambi Click to expand... Ooh kumbe, nilikua sijui. Ila mchepuko wa kiislam hana shida anaweza akawa mke wa pili
Johnny Impact said: Dhambi kwa waislamu ni kula nguruwe. Kuwa na mchepuko kwao siyo dhambi Click to expand... Ooh kumbe, nilikua sijui. Ila mchepuko wa kiislam hana shida anaweza akawa mke wa pili
L Leekim49 Member Joined Jun 8, 2024 Posts 46 Reaction score 82 Jun 11, 2024 Thread starter #23 Ushiled said: Na hao waume za watu wanasemaje? 🤣🤣🤣 Click to expand... Hao watapambana na hali zao,,.
Mpaji Mungu JF-Expert Member Joined Apr 24, 2023 Posts 13,544 Reaction score 43,537 Jun 11, 2024 #24 Hivi kwenye ID yako pale kwenye 'Kim' nikiweka 'jay'..... ntakua nakosea kwamba sio ww
L Leekim49 Member Joined Jun 8, 2024 Posts 46 Reaction score 82 Jun 11, 2024 Thread starter #25 Mpaji Mungu said: Hivi kwenye ID yako pale kwenye 'Kim' nikiweka 'jay'..... ntakua nakosea kwamba sio ww Click to expand... Hapana umenifananisha mkuu., kwani huyo jay ni nani?
Mpaji Mungu said: Hivi kwenye ID yako pale kwenye 'Kim' nikiweka 'jay'..... ntakua nakosea kwamba sio ww Click to expand... Hapana umenifananisha mkuu., kwani huyo jay ni nani?
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 38,283 Reaction score 97,793 Jun 11, 2024 #26 Darasa huru ni mwendo wa kubunu mbunu, no ni kumbinu bunu, mbuni.
Raymanu KE JF-Expert Member Joined Jan 20, 2022 Posts 8,611 Reaction score 16,118 Jun 11, 2024 #27 Uzi wenyewe wanawake wa JF wameususa kbsa au ndo tuseme hawajauona😅