Kama umeangalia kwa Umakini 'Picha' ya Leo ya Spika Ndugai na 'Her Excellence' Ikulu 'Dom' kwa Jicho la 'Saikolojia: utagundua tu yafuatayo

popo-ma kama popo-ma [emoji1787]
 
Nimekuelewa sana GENTAMYCINE ila ninaomba kikuu Liza, ni kwanini leo Speaker Mstaafu hakufunga kamba za viatu?
Usipofunga kamba za viatu ni either miguu imevimba au viatu ni vidogo.
 
Duu! Sikuwahi kuwaza kama hata huku JF Kuna wasomi waliodata....Kuna maelezo nayasoma hata sielewi ameandika Nini.Eeh Mungu Msaidie huyu Mwana JF anayejiita Talented. For what? Mi sijui.
 
#5
Kwahiyo wanaofariki ni wale waliojiktia tamaa pekee?
 
Ukiwa nje ya System mali zako kuwa Jeopardized ni jambo jepesi sana na wale ambao walikuwa maadui zako ambao wao still wamekamata dola!
 
Tanzania ingepata vijana 100 kama wewe wachambuzi wazuri wa habari nadhani tungekuwa mbaali kimataifa..
 
Picha inazungumza wazi kabisa jamaa hayupo relini kabisa kifikra
 
Mkuu toka nimekufahamu, sijawahi kukosa kuona mgogolo kwenye nyuzi zako. Pole inaonyesha una nyota Kama ya mwendazake.
 
Kwa mh ndugai ndio kaomba kukutana na rais! mleta mada shikamoo[emoji1787]
Kwa akili za kawaida tu Rais anaweza kumuita ndugai kweli? Na ukizingatia mwisho wa kuachana kwao

Watu kama wewe unaona mawingu unauliza leo kutakuwa na jua
 
Duu! Sikuwahi kuwaza kama hata huku JF Kuna wasomi waliodata....Kuna maelezo nayasoma hata sielewi ameandika Nini.Eeh Mungu Msaidie huyu Mwana JF anayejiita Talented. For what? Mi sijui.
Kunichukia Kwako kunakuongezea Utajiri au kukupunguzia Umasikini pamoja na Upumbavu mkubwa ulionao Wewe na wale Wengine wote wenye Chuki nami hapa JamiiForums?

Cc: Inside10, FORTALEZA
 
Tanzania ingepata vijana 100 kama wewe wachambuzi wazuri wa habari nadhani tungekuwa mbaali kimataifa..
Jiandae kuambiwa na Wanaonichukia kwa Baraka Kubwa na Talanta nyingi nilizopewa na Mwenyezi Mungu kuwa hii ID yako ni Mimi Mwenyewe GENTAMYCINE na kwamba hapa nimeandika ili Kujisifia Mkuu.

Kuna Mwenzako aitwae BIG THINKER katika Uzi huu huu wangu amenisifia na Kupendezwa na Uchambuzi wangu na Uandishi ( Uwasilishaji ) wangu ulio wa Kipekee hapa JamiiForums kaishia kuambiwa kuwa Yeye no Mimi na kwamba nimeamua Kujisifia.

GENTAMYCINE sitakiwi Kupendwa na Kuvutiwa nanyi hapa JamiiForums bali natakiwa tu Kuchukiwa, Kudhihakiwa, Kudharauliwa na hata Kutukanwa ndipo wale Wapumbavu wote FORTALEZA , Inside10, Schmidt na Wanaonichukia wafurahi na waridhike.

Fame na Natural Charm yangu inawatesa na Kuwaumiza mno JF Critics wangu na walichokisahau tu ni kwamba Wasinilaumu Mimi au Kunionea Kijicho bali Wamlaumu hasa Mwenyezi Mungu kuwa kwanini amenibariki ( amenitunuku ) na Vipawa vingi na Wao akaamua Kuwanyima?

Ahsanteni nyote mnaonipenda hapa JF.
 
Umejuaje?
Akishakujibu tafadhali nakuomba Unitagi kisha mwambie kwakuwa FORTALEZA ana Uthibitisho wa 100% kuwa hiyo ID ya BIG THINKER ni yangu ( Mimi GENTAMYCINE Mwenyewe ) na nyinginezo zote ambazo huwa zinanisifia na Kunipongeza hapa JamiiForums basi haraka sana atoe Ushahidi wake huo kwa Uongozi wa JamiiForums na ikithibitika pasi na shaka ( na najua JF Founder Maxence Melo ) ni Mweledi na 'Guru: akiwa kama Certified Digital Security Expert ( Genius in IT ) nawaruhusu wanipige PERMANENT BAN au Waifute kabisa hii ID yangu.

Nimeshachoka kuhusishwa na kila ID' s hapa JamiiForums ( na hasa zile ambazo huwa zinaonyesha tu Kunikubali na Kupendezwa nami ) lakini cha Kushangaza zile ID"s ambazo huwa zinanitukana, zinanidhihaki na Kunishambulia kwa kila namna huwa sihusishwi nazo kuwa ni zangu na ni Mimi Mwenyewe.

Uongozi wa JamiiForums hivi ile Sheria yenu ya Watu ( Members ) Kuwasingizia na Kuwahusisha Wengine kwa ID's zisizo zao tena kwa Kukutaja au Kuzitaja hapa Siku hizi imeenda Likizo au mmeshaifuta? This is too much to me...!!!

Cc: Inside10
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…