GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #41
Mtu Mcha Mungu Kimatendo na siyo Usoni. aliye Tajiri wa Kimaono na Kimtazamo, Mwerevu, Mweledi, Muwazi, Makini, Mkweli, asiye Mnafiki wala Muoga na Mchukia Upumbavu halafu anajiamini na hapendi Kujipendekeza kwa Mtu kama niluvyo GENTAMYCINE na alivyokuwa Hayati Rais Dkt. Magufuli kamwe hatuwezi Kupendwa na Wapumbavu wengi walioko lakini kwa Mwenyezi Mungu huwa tunapendwa na tuna Thamani Kubwa Kwake.Mkuu toka nimekufahamu, sijawahi kukosa kuona mgogolo kwenye nyuzi zako. Pole inaonyesha una nyota Kama ya mwendazake.
Nakuachia hili Swali ambalo nitashukuru Wewe ukinijibu au hao ( hawa Wapumbavu ) wakikusaidia Kujibu kuwa ni kwanini 98% ya wale JF Members wanaonichukia mno GENTAMYCINE hapa JamiiForums ndiyo hao hao ni 'Followers' wangu Wakubwa na kila waingiapo ( Log In ) ni lazima wazisome 'Threads' zangu na hata 'Comments' zangu?
Mimi ndiyo GENTAMYCINE Mkuu wangu.
Cc: FORTALEZA ,Inside10, Schmidt