Kama umeangalia kwa Umakini 'Picha' ya Leo ya Spika Ndugai na 'Her Excellence' Ikulu 'Dom' kwa Jicho la 'Saikolojia: utagundua tu yafuatayo

Kama umeangalia kwa Umakini 'Picha' ya Leo ya Spika Ndugai na 'Her Excellence' Ikulu 'Dom' kwa Jicho la 'Saikolojia: utagundua tu yafuatayo

Mkuu toka nimekufahamu, sijawahi kukosa kuona mgogolo kwenye nyuzi zako. Pole inaonyesha una nyota Kama ya mwendazake.
Mtu Mcha Mungu Kimatendo na siyo Usoni. aliye Tajiri wa Kimaono na Kimtazamo, Mwerevu, Mweledi, Muwazi, Makini, Mkweli, asiye Mnafiki wala Muoga na Mchukia Upumbavu halafu anajiamini na hapendi Kujipendekeza kwa Mtu kama niluvyo GENTAMYCINE na alivyokuwa Hayati Rais Dkt. Magufuli kamwe hatuwezi Kupendwa na Wapumbavu wengi walioko lakini kwa Mwenyezi Mungu huwa tunapendwa na tuna Thamani Kubwa Kwake.

Nakuachia hili Swali ambalo nitashukuru Wewe ukinijibu au hao ( hawa Wapumbavu ) wakikusaidia Kujibu kuwa ni kwanini 98% ya wale JF Members wanaonichukia mno GENTAMYCINE hapa JamiiForums ndiyo hao hao ni 'Followers' wangu Wakubwa na kila waingiapo ( Log In ) ni lazima wazisome 'Threads' zangu na hata 'Comments' zangu?

Mimi ndiyo GENTAMYCINE Mkuu wangu.

Cc: FORTALEZA ,Inside10, Schmidt
 
Usinitag kwenye ukichaa wako please!
Mpaka umenijibu hivi ni Ushahidi tosha kuwa Ujumbe wangu si tu Umeusoma bali pia Umeuelewa.

Nafurahi kuona unavyonifuatilia Kutwa unayenichukia na Kichaa Mimi na ukiwaacha Wazima wenzako.
 
Mpaka umenijibu hivi ni Ushahidi tosha kuwa Ujumbe wangu si tu Umeusoma bali pia Umeuelewa.

Nafurahi kuona unavyonifuatilia Kutwa unayenichukia na Kichaa Mimi na ukiwaacha Wazima wenzako.
[emoji3][emoji3]
20220103_010641.jpg
 
Jiandae kuambiwa na Wanaonichukia kwa Baraka Kubwa na Talanta nyingi nilizopewa na Mwenyezi Mungu kuwa hii ID yako ni Mimi Mwenyewe GENTAMYCINE na kwamba hapa nimeandika ili Kujisifia Mkuu.

Kuna Mwenzako aitwae BIG THINKER katika Uzi huu huu wangu amenisifia na Kupendezwa na Uchambuzi wangu na Uandishi ( Uwasilishaji ) wangu ulio wa Kipekee hapa JamiiForums kaishia kuambiwa kuwa Yeye no Mimi na kwamba nimeamua Kujisifia.

GENTAMYCINE sitakiwi Kupendwa na Kuvutiwa nanyi hapa JamiiForums bali natakiwa tu Kuchukiwa, Kudhihakiwa, Kudharauliwa na hata Kutukanwa ndipo wale Wapumbavu wote FORTALEZA , Inside10, Schmidt na Wanaonichukia wafurahi na waridhike.

Fame na Natural Charm yangu inawatesa na Kuwaumiza mno JF Critics wangu na walichokisahau tu ni kwamba Wasinilaumu Mimi au Kunionea Kijicho bali Wamlaumu hasa Mwenyezi Mungu kuwa kwanini amenibariki ( amenitunuku ) na Vipawa vingi na Wao akaamua Kuwanyima?

Ahsanteni nyote mnaonipenda hapa JF.
Hawataweza mkuu mimi ndie mwizukulu mgikuru mwamba wa miamba....kwenye utawala wa mwanakwenda niliponea chupuchupu kudondoka..lakini kwa sasa namshukuru maulana mama la mama mama samia ananitibu makovu na vidonda alivyoniachia mwanakwenda....
 
1. Katumia Nguvu Kubwa sana ma Juhudi nyingi mno Kuomba kwenda Ikulu Dodoma leo na yawezekana asingepata nafasi hii Presha yake ingepanda na kuanzia Usiku huu au Kesho 'abbreviations' za R.I.P zingeanza Kutawala Kwake kila ukimuita, ukimtaja Hewani.

2. Tokea alipojiuzuru ana Huzuni Moyoni ya 98% na Furaha ya Kulazimisha ya 2% tu

3. Ana Maumivu makubwa na hayuko vyema Kiafya na huenda saaa akendelea tu Kuugua mpaka pale akipokea Maagizo kutoka Juu ya Kumpumzisha Kimoja

4. Kabla ya kutoka pale nje ( Mlangoni ) na kupiga Picha inayosambaa Mitandaoni itakuwa alimpigia mno Mtu Magoti, akagalgala, akamlamba Miguu na pengine hata kuomba asuuze Vyombo vichafu vilivyotumiwa na Wageni Ikulu na akapiga sana Deki Bafuni / Maliwatoni

5. Ameshakata Tamaa ya Maisha na anahisi muda Wowote nas anatuachia Tanzania yetu na kwenda Kupumzika mazima Ardhini

6. Kaathirika Kisaikolojia na kwamba Siku zake za kuendelea Kuishi unaweza hata 'Ukazibetia' kwa Mhindi Mkekani

7. Amepata na anaendelea bado kupata Vitisho kutoka kwa 'Chawa Gegedo' wa Mtu na inaonyesha Vitisho hivi vinamnyima Furaha na Usingizi kupelekea pengine hata Kujutia alichokifanya

Ushauri wangu atibiwe mno Kisaikolojia.
Soon anachaguliwa kuqa balozi maana anajiuzulu ubunge muda mchache ujao

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Mtu Mcha Mungu Kimatendo na siyo Usoni. aliye Tajiri wa Kimaono na Kimtazamo, Mwerevu, Mweledi, Muwazi, Makini, Mkweli, asiye Mnafiki wala Muoga na Mchukia Upumbavu halafu anajiamini na hapendi Kujipendekeza kwa Mtu kama niluvyo GENTAMYCINE na alivyokuwa Hayati Rais Dkt. Magufuli kamwe hatuwezi Kupendwa na Wapumbavu wengi walioko lakini kwa Mwenyezi Mungu huwa tunapendwa na tuna Thamani Kubwa Kwake.

Nakuachia hili Swali ambalo nitashukuru Wewe ukinijibu au hao ( hawa Wapumbavu ) wakikusaidia Kujibu kuwa ni kwanini 98% ya wale JF Members wanaonichukia mno GENTAMYCINE hapa JamiiForums ndiyo hao hao ni 'Followers' wangu Wakubwa na kila waingiapo ( Log In ) ni lazima wazisome 'Threads' zangu na hata 'Comments' zangu?

Mimi ndiyo GENTAMYCINE Mkuu wangu.

Cc: FORTALEZA ,Inside10, Schmidt
Kweli aisee, hao hao wanafuatilia nyuzi zako, wanaelimika na kuhabalika kisha wakishajitambua Wana ku- snitch!! Lakini wewe tembea na ule usemi. "Baniani mbaya" either viatu vyako dawa, japo vikubwa sana ila vinawapwaya, acha wa- kusnich maana unawagwaya.
 
Back
Top Bottom