kekule benzene
JF-Expert Member
- Sep 28, 2016
- 1,444
- 3,576
Habarini wakuu,
Hongereni kwa mliochaguliwa kujiunga na kidatChcha tano, kikubwa tusiishi na historia, Kama ulipata division one O - level jipange upya ukatafute one nyingine ila hakuna uhusiano kati I ya performance ya O level na advance, unaweza ukakuta aliyepata three O level akawa anakimbiza waliopata one.
Wanafunzi wengi wanaochaguliwa combination ya CBG huwa wana malengo ya kusoma Program za afya wakiwa chuo, lakini Ukweli ni kwamba hizi ni ndoto za mchana mbuzi anakula majani.
Hii combination imeshatolewa moja kwa moja kwenye program za afya, hivyo kama umechaguliwa combination hii usitegemee kusoma degree program ya afya, labda unaweza ukasoma Envronmental Health pale MUHAS.
Hivyo kama unapenda kusoma Program za afya either uende college au shule ukabadilishe combination usome PCB (Kuna complications nyingi) au usome CBG Kisha ukimaliza uombe vyuo vya diploma.
Wengi huwa wanaenda kujua hili baada ya kufika shule kitu ambacho huwatoa katika mood ya kusoma.
NB; Kama umechaguliwa PCB au unataka kwenda kubadilisha ili usome PCB inatakiwa ukaze sana, angalau minimum upate two ya kwanza (10) ili uweze kupata program ya afya , Kama unahitaji kusoma chuo cha afya Cha serikali basi nenda katafute one ya 6 kuja chini (3,4, & 5 hapo ndio utakuwa na uhakika 100% wa kutoboa)