Si hivo md hipo safi, hasa 1st year, ni kukomaa na anatomy mengne kama chemistry ilikuwa inapanda biochemistry utapenya pole kwa wenzangu na mimi inservice (CO,MRA) hapa wengi usipokomaa unakutana na bakuli la supu, kwa semister 2 kikubwa physiology omba chuo chenu kisiwe na lecture ili mletewe na the father of physiology Tz Dr.masesa toka Cuhas, hapo utaelewa ukikosa A basi B+ kama unameza vizuri.