Kama umechaguliwa MUHAS undergraduate soma hapa ..

mohammad_othar

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2013
Posts
247
Reaction score
42
Kama nlivosema hapo juu mi napata utata kuhusu hostel za pale chole je kuna list wametoa ambayo ina majina ya waliochaguliwa kukaa pale ? Mbona wakati wakuchukua admission letter hatukuambiwa? Naomba msaada kwa kweli nipo matatani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…