mohammad_othar
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 247
- 42
Kama nlivosema hapo juu mi napata utata kuhusu hostel za pale chole je kuna list wametoa ambayo ina majina ya waliochaguliwa kukaa pale ? Mbona wakati wakuchukua admission letter hatukuambiwa? Naomba msaada kwa kweli nipo matatani