Erick zeph Stanley
JF-Expert Member
- Apr 25, 2013
- 647
- 72
kwa kifupi ni kwamba ukifuata kilichokupeleka chuo kila kitu kitakuwa rahsi kwa hiyo kwa hapa Saut changamoto kubwa hasa kwa baadhi ya vitivo ni kwamba kozi tunazosoma ni nyingi unaweza ukajikuta kwa semister unasoma kozi mpaka 10 sasa hili ni tatizo kubwa lazma usome sana kwa hali kama hyo..
Le français est une leçon difficile.
Hivi kwa nn wanalazimusha kufundisha wakati watu hawana mvuto nalo.
Nafahamu mtakua na mchecheto sana wa kutaka kuyafaham maisha ya chuo yalivyo hasa hapa SAUT main campus.. kwa hiyo kwa mliochaguliwa hongereni jamani. Kwa yeyote mwenye swali kihusu SAUT Main anaweza kuuliza..
Lastly karibuni tulijenge jiji la Mungu...
Mkuu na upande wa engineering (civil eng) mzk wake vp kwa hapo SAUT?
Mkuuu,kwa first year lin tunatakiwa kureport?? na vp course ya marketing iko niajjee?
Jiji la MUNGU .? yupi huyo. sema jiji la chupi
Niliwahi kusoma coz kumi na tatu semista moja hapo SAUT.
Sina uhakika kama kuna course ya marketing ila mtagawanywa baada ya second year semisters ya pili mtaenda marketing, finace na wengne Hr