Kama umechaguliwa SAUT pitia hapa

Ugumu wa kozi ya education ni upi?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Changamoto ya Education ni wingi wa course zake. Huwa mara nyingi wanafunzi wa Eduche wanafikia kusoma course 12 hadi 13 chache sana per semester wamesoma basi 10.
Na siri ya kupambana nayo hayo ni kuwa tayari tu na kuweka nidhamu ya elimu mbele then hayo mengine yapo tu. Ukipiga semester moja baadae unakuja realize ni mambo ya kawaida saaana.
 

Vizuri sana mkuu... maelezo yako yanajitosheleza kabisa
 

mbona hujawaambia habari za Dr Safari kwenye Research
 

ni kweli kabisa changamoto kubwa kwa sisi wa Eduche ni wingi wa kozi ila sisi tulipambana tukagraduate...hivyo juhudi binafsi zinahitajika
 
mbona hujawaambia habari za Dr Safari kwenye Research

Hahahah hayo ni mambo ya baadae ambapo watakuwa wameshazoea mchaka mchaka wa pale aisee. Huyo Dr alinifundisha research mwaka wa pili ila nashukuru hakuwa Supervisor ktk kitivo cha Biashara. Japo alitupa task ya kudefend kwake reaserch za assignment.
 
Nimechaguliwa bachlor of Arts in public marketing ,Saut-mwanza mkuu Mgavi Fulani.
 

Nashukuru Mgavi Fulani kwa ufafanuzi wako

Gharama na maisha kwa ujumla yakoje hapo chuoni?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Nimechaguliwa bachlor of Arts in public marketing ,Saut-mwanza mkuu Mgavi Fulani.

Hongera mkuu. Nina mengi sana ktk course ya Business Administration ila ujuzi kwa ujumla kuhusu ufundishaji, na mengineyo nakaribisha maswali ili kukupa mwongozo.
 
Nashukuru Mgavi Fulani kwa ufafanuzi wako

Gharama na maisha kwa ujumla yakoje hapo chuoni?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Kwanza hongera mkuu kwa kupata selection maana mpaka umechaguliwa jua kuwa umekidhi vigezo. So unastahili pongezi.
Pili juu ya gharama za maisha. Kiujumla maisha ya Mwanza au chuo pale gharama zake tukianza na jambo muhimu kuliko yote ( chakula ) sahani full na samaki na kila kitu ni kuanzia 1500/= hadi 2000/= hiyo ndio ilikuwa bei mpaka naondoka and i hope haijabadilika kwa saaana. Ila kama utataka uhuru nakushauri weka ndani stock ya chakula japo kwa uchache maana kuna miezi maaruf inaitwa "mwezi dume" huwa hali inakuwa ngumu almost kwa watu wengi chuoni.

Gharama za stationeries ni cheap kwa ujumla kutokana na competition ya mastationery yaliyojazana. So ni wewe tu na uchaguzi wako pindi utakapohitaji toa copy au kuprint kazi tofauti tofauti. Copy hadi naondoka zilifika page sh. 50/= na mapunguzo kibao ukiwa na page nyingi au kama unaprint.

Gharama za hostel: hapo mkuu kwa sasa SAUT naweza kukutoa shaka maana kipindi chetu kulikuwa na idadi kubwa sana ya wanafunzi so DEMAND ya hostel ilikuwa juu sana na wenye nyumba wakaongeza bei za hostel had kufikia Mil. 1+. Ila kwa sasa naona idadi ya wanafunzi imepungua japo sijajua mwaka wenu na mpaka tunaondoka hostel zilifikia hadi laki 5, so mnajichanga wawili mnakaa kwa amani. Hostel zitakuwa zinapatikana kwa urahisi kutokana na uzoefu wangu na jinsi nilivyoziacha nyingine zipo ktk matengenezo ( mpya ) baada ya kwenda fuata vyeti vyangu mwezi uliopita mwaka huu. →→Disadvantage ya off campus ni gharama za malipo ya maji na umeme japo si kubwa kama utakavuodhani. Maana maji ni bwerereee kutoka ziwani.

Ama kuhusu suala la hostel za ndani ni bei nafuu zaidi. Nadhani unalipia kwenye LAKI 2 hivi, sina exact info on that maana aijawahi kaa hostel za ndani. Ila disadvantage ni nyingi. Watu mnapokusanyika wengi ktk sehemu moja toka culture tofauti kidogo huwa ni challenge but i hope you'll be able to face it.

Nadhani hapo kidogo umepata mwanga wa maisha na cost zake zilivyo.

Usisite uliza lolote ambalo wahitaji maelezo ya ziada. Karibu.
 
Last edited by a moderator:
Nimechaguliwa bachlor of Arts in public marketing ,Saut-mwanza mkuu Mgavi Fulani.

Ni Bachelor of Arts in Public Relation and Marketing. Ukijitahidi na hiyo Marketing itakufikisha mahala pazuri. Cha msingi weka bidii na pia ukifika Mwanza kula sana Samaki wala usiwaogope. :-D :-D
 
dah SAUT ctakisahau hiki chuo ad nimevaa joho ckuamini kama ni kwel niligraduate ni shidaaaa
 
sasa kama chuo knafunguliwa tar 23 sep,tcu mpaka xaxa wamebania majna ye2,na 1st year wanatakiw kuripot wik moja kabla na leo tar 16 na wao kwa taarfa wanaachia majna tar 22 itakuaje?!?!
 
Hostel za ndani zilipanda mwaka ulioisha wa masomo na kufikia sh laki 3 ambapo chumba kimoja mnakaa watu wa4 ila kuna hostel kama za mkwawa baadhi ya vyumba ni watu wawili tuu. hosteli za kina Dada nyingi ni watu wawili tuu.

Stationery copy mpk sh.30 hapo Nyamalango kuprint mpk sh.50
 
Nimechaguliwa bachlor of Arts in public marketing ,Saut-mwanza mkuu Mgavi Fulani.

mkuu kama utadevote muda mwingi kwenye masomo basi PR c o ngumu. kuna courses kama economics statistics japokua mtafundishwa partially bt usipokua serious utajikuta unacarry tu miaka yote ad kupelekea kutograduate otherwize masomo mengne yapo shwar mkuu. all the best
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…