Kama umechaguliwa SAUT pitia hapa

Kazi zinazohusiana na kuprint huwa ni nyingi sana ili nijipange kununua printer? Mgavi Fulani MUSSOLIN

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Walah SAUT....mmmmh sjapata kuona... Haswa kwenye koz ya procurement... Huyo mama HOD looooh....
 
maelezo mazuri sana but kwa hostel za ndani ni laki tatu hii ilikua kuanzia mwaka jana na kwa hostel za nje zipo hadi za laki tatu na nusu lkn nyingi zinaanza na laki tano na kiendelea
 
sasa kama chuo knafunguliwa tar 23 sep,tcu mpaka xaxa wamebania majna ye2,na 1st year wanatakiw kuripot wik moja kabla na leo tar 16 na wao kwa taarfa wanaachia majna tar 22 itakuaje?!?!

nazani chuo wana taarifa toka tcu hvo usiwaze wataextend reporting day kwa first year
 
mmeuchanganya maubongo yangu kinoma nikajua YAAHP..! TCU at last wameaachia..

kuna wale wanaojua tiyari selection zao sijui walifanyaje mpaka wakajua? kwa ambao hamjafaham msiwaze next monday kila kitu kitakuwa out according to tcu...
 
Jiandae kukutana na Mtebe....Ni nooooma huyo mama ukicheza tuu hauhitimu....

Mbona unamtisha kijana?? Mambo si magumu kihivyo mkuu. Cha msingi mshauri njia mbadala au za uhakika za kuweza kuendana na hao akina Mthebe na Scholar Ngimbudzi. Ni kweli ngoma nzito ila ukiamua ni kama unanawa tu.
 
Ila mkuu ajiandae tuu kuingia SAUT ni easy saana ila kutoka si lele mama... Pambna mkuu research, french,comprehensive yote mapanga hayo .

Kama vp graduation si inakuja we uliza masela mbna mna shangwe hvyo watakupa walioyapitia
 
hii n kweli kabsa mkuu
 
Wataoenda kusoma campus za bukoba na singida ni wa faculty gan...?
 
kuna wale wanaojua tiyari selection zao sijui walifanyaje mpaka wakajua? kwa ambao hamjafaham msiwaze next monday kila kitu kitakuwa out according to tcu...

Erick hii ni kama ile ya kwenu kwenye airtel yatosha wale TCU inatatizo mle.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…