Kama umechaguliwa udom soma hapa itakusaidia.

Asante sana mkuu..ila me nauliza kuna maelezo yoyote kuhusu college of education coz hapo umeelezea mengi yanayowahusu wa college of humanities and social science..pia boom huwa mnapewa kwa njia gani?

Mkuu Hayo ni Ya College of Social science & Humanities tu.
 
Kuhusu College of Education naweza nisijue mengi kwa sababu sisomi huko lakini wapo wadau kama @P_prezidaa wanajua vizuri, Boom ni kwa njia ya Bank hivyo basi unashauriwa kuwa na account ya Bank na nakushauri uwe ni mteja wa CRDB
Mkuu umefanya vizuri kuwapa mwongozo wadogo zako, ingawa pia na kaka zako watakuwamo kwenye hiyo orodha ya wanafunzi wanaokuja hapo? Huu ukarimu umeutoa wapi mkuu? Isije kuwa ndo mtego wa magamba kunasa wanachama wa kutosha maana nasikia hapo kwenu ni magambas kwa kwenda mbele!!
 
Wale wote walio chaguliwa College of Earth Science(CoES) mnaweza uliza swali hapa na nitasaidia kadri niwezavyo,

Karibuni sana.
 

Hapana mimi ni kiongozi wa serikali ya wanafunzi. Mambo ya vyama yanawenyewe
 
m napita 2 c o chuo changu coz cwez kusoma chuo cha kata changu number 1 tz udsmmmmmmmmmmm
 
m napita 2 c o chuo changu coz cwez kusoma chuo cha kata changu number 1 tz udsmmmmmmmmmmm

umekikosa ndo mana unakiponda eee!oooh mara unataka kuhama tulia kwenye lichuo la ovyo kwan cut-off point zako hazkuruhusu kuingia udsm-main campus,wajanja 2pete ze2 na Udom
 
kma umechaguliwa LL.B (law) unaweza uka ni PM hop ntakusaidia sana.
CONGRATS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…