Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana mkuu..ila me nauliza kuna maelezo yoyote kuhusu college of education coz hapo umeelezea mengi yanayowahusu wa college of humanities and social science..pia boom huwa mnapewa kwa njia gani?
Mkuu Hayo ni Ya College of Social science & Humanities tu.
Tatizo wengine wameanza kuwaza ndoa bandia
Mkuu umefanya vizuri kuwapa mwongozo wadogo zako, ingawa pia na kaka zako watakuwamo kwenye hiyo orodha ya wanafunzi wanaokuja hapo? Huu ukarimu umeutoa wapi mkuu? Isije kuwa ndo mtego wa magamba kunasa wanachama wa kutosha maana nasikia hapo kwenu ni magambas kwa kwenda mbele!!Kuhusu College of Education naweza nisijue mengi kwa sababu sisomi huko lakini wapo wadau kama @P_prezidaa wanajua vizuri, Boom ni kwa njia ya Bank hivyo basi unashauriwa kuwa na account ya Bank na nakushauri uwe ni mteja wa CRDB
Mkuu umefanya vizuri kuwapa mwongozo wadogo zako, ingawa pia na kaka zako watakuwamo kwenye hiyo orodha ya wanafunzi wanaokuja hapo? Huu ukarimu umeutoa wapi mkuu? Isije kuwa ndo mtego wa magamba kunasa wanachama wa kutosha maana nasikia hapo kwenu ni magambas kwa kwenda mbele!!
Kumbe Udom kuna ukarimu wa namna hii?asante Mungu kunichagua UDOM
Me nakuja kuchukua b.Ed with ict
Karibu Udom,Tupo p1 mpk Unapata ID yako
m napita 2 c o chuo changu coz cwez kusoma chuo cha kata changu number 1 tz udsmmmmmmmmmmm