Kama umefanikiwa leta mrejesho hapa.

Kama umefanikiwa leta mrejesho hapa.

Marire

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Posts
12,333
Reaction score
5,292
Heshima kwenu wadau .
Mimi nilisoma hapa kuhusu ufugaji wa kuku wa kienyeji mwezi March.nikanunua maji 10 jogoo 1 .wakafa 3 .
sasa hivi tunavyoongea kuku wapo vyema na nina mayai zaidi ya 20.
~watu wengi wanaomba ushauri hapa na huko waendapo hawaleti mrejesho ili kuleta hamasa kwa wengine au funzo kwa wengine wetu.
Kwa kweli kuna watu wamejaliwa moyo wa kumsaidia mtu kwa hali na mali,ukisoma comments utagundua ni sisi kuwapo mrejesho wa walichotushauri..

_Hivyo Natoa rai kama wewe umefanikiwa au umekwama leta mrejesho hapa.
shukrani zangu za pekee kwa
Mama Joe
TRAitor B
na mdau mmoja yupo moro number yake ninayo ila jina lake limenitoka la jf.
 
Last edited by a moderator:
aise mie nilisoma hapa na pia nikaona bidhaa kma bata mzinga/bukini nikanunua naona mambo yanaende vizuri japo na vikuku vinasua sua ila naishukuru sana JF hususani hili jukwaa limenipa mwanga wa kuona mbele sana kwenye mambo ya ujasiriamali.
Heshima kwenu wadau .
Mimi nilisoma hapa kuhusu ufugaji wa kuku wa kienyeji mwezi March.nikanunua maji 10 jogoo 1 .wakafa 3 .
sasa hivi tunavyoongea kuku wapo vyema na nina mayai zaidi ya 20.
~watu wengi wanaomba ushauri hapa na huko waendapo hawaleti mrejesho ili kuleta hamasa kwa wengine au funzo kwa wengine wetu.
Kwa kweli kuna watu wamejaliwa moyo wa kumsaidia mtu kwa hali na mali,ukisoma comments utagundua ni sisi kuwapo mrejesho wa walichotushauri..

_Hivyo Natoa rai kama wewe umefanikiwa au umekwama leta mrejesho hapa.
shukrani zangu za pekee kwa
Mama Joe
TRAitor B
na mdau mmoja yupo moro number yake ninayo ila jina lake limenitoka la jf.
 
Baada ya muda mrefu wa kupanga na kupangua mipango hatimaye nilikutana na MalafyaleP hapa JF akanihamasisha kuanza kilimo, nikaandaa shamba(Kufyeka pori zito) na kuanza kilimo cha ufuta. Nashukuru Mungu zao linaendelea vizuri huko shambani kwangu, hapo chini ni picha za wiki tatu zilizopita baada ya kumaliza palizi;

IMG_20140421_145028.jpg
IMG_20140421_145048.jpg
IMG_20140421_145039.jpg
 
Attachments

  • IMG_20140421_145034.jpg
    IMG_20140421_145034.jpg
    418.6 KB · Views: 128
John Kachembeho,

Umenifurahisha uliposema pori zito.

Hongereni sana, hivi hivi kidogo kidogo na nchi inanyanyuka kiuchumi.
 
Hivi ufuta ndio alizeti?
john hilo shamba lipo wilaya gani?inaonekana ilikuwa pori kweli mkuu
 
Last edited by a moderator:
Hongereni sana. Nami nipo napiga jeramba. Mungu akinijalia mipango yangu hivi karibuni nitaanza ufugaji wa kuku wa kienyeji nusu huria.
 
Mkuu Marire,
Ufuta ni ufuta na alizeti ni alizeti.
Ufuta unafanana sana na alizeti unapokuwa mdogo hadi unapofikia hatua ya kutoa maua ndo unakuwa tofauti na alizeti.
Angalia hatua za ukuaji ufuta hapo chini;
sesame development.PNG
 
Last edited by a moderator:
John Kachembeho,

Umenifurahisha uliposema pori zito.

Hongereni sana, hivi hivi kidogo kidogo na nchi inanyanyuka kiuchumi.

Hii nchi ina ardhi kubwa sana yenye rutuba inayofaa kwa kilimo ila walimaji ndo hatupo mkuu. Na gharama za kuipata sio kubwa kivile ila labda gharama ya uendelezaji ndio kiasi inaumiza, cha msingi ni kuwa na malengo tu na kujua unachokifanya.

Mkuu Maundumula inafurahisha na wakati mwingine inaweza kukukata spidi pale mtu anapokwambia anaenda kukuonyesha shamba halafu unapofika eneo la tukio unakutana na bonge la msitu, unaweza usirudi kaka!
 
mkuu John leo ndio umenifumbua macho,na hilo zao linasitawi sehemu za ukame na ndege hawali kama ilivyo kwa alizeti?
 
Zao la ufuta linastahimili sana ukame na halishambuliwi na ndege kwa vyovyote, na kwa taarifa tu hili zao halitaki sehemu yenye maji mengi yanayotuama. Mvua za wastani tu zinatosha sana kwa kilimo cha ufuta.
 
mkuu john nashukuru kwa ufafanuzi
 
Last edited by a moderator:
Mimi niliahidi kuleta Mresho kuanzia JUNE mambo ni Mazuri sana nimelima UFUTA Morogoro!
 
Hii nchi ina ardhi kubwa sana yenye rutuba inayofaa kwa kilimo ila walimaji ndo hatupo mkuu. Na gharama za kuipata sio kubwa kivile ila labda gharama ya uendelezaji ndio kiasi inaumiza, cha msingi ni kuwa na malengo tu na kujua unachokifanya.

Mkuu Maundumula inafurahisha na wakati mwingine inaweza kukukata spidi pale mtu anapokwambia anaenda kukuonyesha shamba halafu unapofika eneo la tukio unakutana na bonge la msitu, unaweza usirudi kaka!

Na hayo mapori ndio mashamba mazuri sasa.
 
Back
Top Bottom