Marire
JF-Expert Member
- May 1, 2012
- 12,333
- 5,292
Heshima kwenu wadau .
Mimi nilisoma hapa kuhusu ufugaji wa kuku wa kienyeji mwezi March.nikanunua maji 10 jogoo 1 .wakafa 3 .
sasa hivi tunavyoongea kuku wapo vyema na nina mayai zaidi ya 20.
~watu wengi wanaomba ushauri hapa na huko waendapo hawaleti mrejesho ili kuleta hamasa kwa wengine au funzo kwa wengine wetu.
Kwa kweli kuna watu wamejaliwa moyo wa kumsaidia mtu kwa hali na mali,ukisoma comments utagundua ni sisi kuwapo mrejesho wa walichotushauri..
_Hivyo Natoa rai kama wewe umefanikiwa au umekwama leta mrejesho hapa.
shukrani zangu za pekee kwa
Mama Joe
TRAitor B
na mdau mmoja yupo moro number yake ninayo ila jina lake limenitoka la jf.

Last edited by a moderator: