...kama umelala...ndani ya ...ndoa ...yako ...itika ..jina...

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2011
Posts
4,873
Reaction score
1,221
...
NIPO na my wife arabela hapa...
..... . . . ....................
.
.
​
.
.
..............
.
.
.
.
..............................
usipoitika utakuwa magendo WITO MWISHA SAA 12 ASUBUHI KESHO.
 
Marafiki zako walikuleta na kenta dear, nikajua wanashusha gunia la mahindi kumbe ni honey wangu!!!!

duh! Baby naomba unishauri nipunguze kunywa pombe kali! Au nianze kunywa valuu niachane na grants
 
Kumbe hujui ndo maana huishi kutuma tuma vi-PM!!!!
uache mara mmoja.....

mwambie huyo tena juzi nilivyokuwa naijeria nimekuja na mzizi wa kunatiana nahisi nitawanasa wengi.
 
duh! Baby naomba unishauri nipunguze kunywa pombe kali! Au nianze kunywa valuu niachane na grants

Kunywa tu mpenzi, ukiwa chakali huwa nafaidi na mie nikikusachi sikosi laki!!!!
 
ndo nachokupendeaga my wife,ila kumbuka uwe unaniachia japo ya supu asubuhi kwa ajil ya kukatia hangover.

Lazima niache buku 2 dear laki naweka kapuni!!!!!!!!
i love u.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…