Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #41
Hawa tuwafanye hiviWalevi wa madaraka nao umewaalika waje kupiga stori?
Waje watueleze ni Kwa nini wakilewa hupenda kutematema mate kama kina mama wajawazito?
Mimi ni mutu ya MunguAmeeeeeeeeen
Hasira za mkizimkazi"Kuna mbwa wanabwekea maendeleo yetu" heri kulewa safari lager sio madaraka 😅
Jongea maeneo😀Lager tunazo na tunatamba nazo 😃
Uzi una leta kiu🤔
Mrudieni Yesu Kristo awe mwokozi wa maisha yenu enyi walevi.
1,3 Mio. Aufrufe · 142.996 Reaktionen | 😂😂😂😂 | MZANSI PROLIFIC CONNECT
😂😂😂😂.