Kama umemaliza angalau kidato cha 4 halafu hujui Kiingereza. Jitahidi ujue, hiyo ni aibu

Kama umemaliza angalau kidato cha 4 halafu hujui Kiingereza. Jitahidi ujue, hiyo ni aibu

Samia atosha tukutane2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
17,728
Reaction score
49,762
Wasiojua Kiingereza na wana Elimu ambayo wameipata kwa lugha ya Kiingereza watakuja na utetezi wao kuwa Kiingereza ni utumwa, mara Elimu si lugha, mara utawasikia Wachina mbona wana viwanda, wengine wana Master's na hawajui Kiingereza.

Utetezi wa namna hii ni mfu, unapaswa unyang'anywe vyeti vyote ulivyotunukiwa hasa vile ambavyo ulivipata kwa lugha ya Kiingereza.

Hao Wachina Chemistry wanasoma Kichina. Kiingereza ni somo la pembeni tu.
Usione aibu jifunze Kiingereza.

Tumia njia hizi 3, kwa mwezi mmoja tu utajua Kiingereza vizuri.
1. Pakua app nzuri ya Mafunzo ya Kiingereza
2. Kanunue Kitabu cha Michael Kadeghe cha English use for Secondary Schools ( red covered Form 1,2,3 & 4).
3. Fuatilia page hii uongeze ubora wa Lugha ya Kiingereza 👇👇👇

Ukizungumzia kujua unazongumzia level gani
1.A1
2.A2
3.B1
4.B2
5.C1
6.C2

Kwenye
Speaking
Listening
Reading
Writing
 
Yule mkatoliki feki wa dovya akashindwa kusoma utopolo, akatamka petrol station wakati haikuandikwa hivyo. Mnapokuwa shuleni/chuoni ongeeni kiingereza mpaka mkizoe, msiogope kuambiwa mnaongea vapour/mistake, tafuna kiingereza bila aibu, huko ndio kuijua lugha hiyo ya kimataifa
 
yes
Dawa ni moja tu, kufanya practical
 
Back
Top Bottom