Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
yesYule mkatoliki feki wa dovya akashindwa kusoma utopolo, akatamka petrol station wakati haikuandikwa hivyo. Mnapokuwa shuleni/chuoni ongeeni kiingereza mpaka mkizoe, msiogope kuambiwa mnaongea vapour/mistake, tafuna kiingereza bila aibu, huko ndio kuijua lugha hiyo ya kimataifa