Kama umemisi Mfalme wa Taarabu Mzee Yusuph ebu dondosha neno lolote hapa...

Kama umemisi Mfalme wa Taarabu Mzee Yusuph ebu dondosha neno lolote hapa...

ChamaDola

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2016
Posts
3,431
Reaction score
2,804
Arosto ya kummisi mziki mpya wa Mzee Yusuph itaniua.

Kama na wewe umeumisi mziki wake ebu dondosha neno la lolote tufarijiane.
 
princess ariana we acha tu,na mbaya zaidi alivyoacha taarabu,na mziki wote wa mwambao ukakosa radha!

Angeachia hata kawimbo kamoja atuage mashabiki zake.

Hii Arosto itaniua.
 
MWANAKA ni mzanzibari mmoja wa kiume,mtaalamu wa mziki wa taarabu aliyeamua kumgeukia Mungu na hivyo kuachana na mziki kabisa
 
yenzela dah!

Hana tofauti na Kanumba,japo Mzee yuko hai.

Kanumba alikufa na Bongo Muvi,Mzee "kafa" na taarabu yake.
 
Hizo nyimbo za Taarabu wanasema hasiskilizwaji na watoto wa kiume, sasa bado sijajua kama hili katazo lilisha tenguliwa na kiongozi wa wanaume Tanzania
 
Hizo nyimbo za Taarabu wanasema hasiskilizwaji na watoto wa kiume, sasa bado sijajua kama hili katazo lilisha tenguliwa na kiongozi wa wanaume Tanzania
Ajabu wanaotunga na wanao produce ni wanaume. Kuimba ndio wote pia. Sasa kwanini wakiume wasisikilize?
 
Back
Top Bottom