B R A C E L E T
JF-Expert Member
- Nov 11, 2018
- 2,357
- 4,390
[emoji848]Dress code Ni Dira?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji848]Dress code Ni Dira?
mfalmeeeeArosto ya kummisi mziki mpya wa Mzee Yusuph itaniua.
Kama na wewe umeumisi mziki wake ebu dondosha neno la lolote tufarijiane.
Mimi nyimbo zote za mfalme ninazipenda.
Hivi Ile alamba alamba inaitwajeMimi nyimbo zote za mfalme ninazipenda.
Mpenzi Chocolate.Hivi Ile alamba alamba inaitwaje
Natoka nje ya mada kidogo.Mpenzi Chocolate.
Hapana mkuuMpenzi Chocolate.
Ni dactar wa mapenz bwana[emoji1][emoji1][emoji1]Mpenzi Chocolate.
Miongoni mwa mabondia nisio wakubali ,Mwakinyo ni mmoja wapo.Natoka nje ya mada kidogo.
Hivi hili pambano la Mwakinyo na Mkongo lina hadhi kweli au ni kama ndondo manake Mwakinyo juzi kati nilisikia amedrop kidogo kwenye mabondia wazuri kutoka Africa ,pamoja na kupigana na yule Mfilipino.
Pole sana. Mkuu. Usipojichanganya utapitwa!Mtoto wa kiume kusikiliza taarabu ntakuwa nina mashaka na ww