Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
- Thread starter
-
- #141
Hamna kitu hapo hii chai tu hii ni biashara kichaaAneifanya hiyo biashara kwa bajaji moja na anaitegemea hiyohiyo kwa kuendesha maisha na huku kampa mtu amletee 20k per day anajiunguza mwenyewe.
Ila kwa experience yangu nimeona wengi wana mishe nyingine bajaji inakua extra, na bajaji sio moja.
Kuna mwamba ana bajaji 10+, zinampa pesa nzuri mno.
Nadhani mleta uzi jaribu kufanya tafiti, na hizo bajaji wengine huwapa mkataba kua baada ya kipindi fulani bajaji inakua ya huyo dereva, so tajiri anachukua pesa kwa muda fulani baada ya hapo kijana bajaji inakua yake. Hapo hata ikae 2 yrs chombo inakua vyedi maana kijana anaimaintain kama yake.
Hizi biashara ukiziangalia kichwakichwa kama ufanyavyo hamna utayoona ina faida, zote utaona watu wanacheza makida makida, kumbe pesa ipo ni dharau zako tu na miscalculation zako.
Me naonA biashara kichaa ni ya kujenga nyumba ya kupangishaKwa
Nini huwezi mkuu?
Nipo kwenye hiyo hardware mwaka wa 9 sasa.Ni biashara ya kifala kweli, ila biashara nyingi faida yake ni ndogo pia cha msingi ni mzunguko wa fedha usiende mbali na wewe.
unaijua biashara ya hardware hii ni manyoko usipouza stock kubwa kwa mwezi mmoja tu
Bahati ya vijana bora haiji kwa wote mkuu...wengine wape muda vizuri utawaona....nilikuwa napata kesi mpaka wake zao...maana nina mtindo wa kufatilia mpaka familia anayotoka ...all in all sio mbaya but changamoto ni nyingiWew
Wewe umekosa vijana bora ila biashara hiyo aina tatizo
Endelea kuokota picha mtandaoni na kuja kujifariji hapa !Hahahaha hatufanani mzee wa kuhemewa kwenye hako kabodaboda Kako unafikiri Kila mtu yupo kama wewe🤣🤣🤣🤣🤣
Wengine wala sio washamba wakutoka vijijimi,wapo pia watumishi hapa mjini wanakopa mikopo kununua bajaj na kuwapa wahuni,Yaani Kuna watu akili kama zimepungua kichwani hivi unanunua bajaji milion 10 halafu unampa mtu mmoja awe anapiga deiwaka anakuletea 20k Kila siku na risk za kutosha hii ni akili Gani yaani hela za mashamba ya urithi nyumbani kwenu unatarajia hii biashara kichaa ikunufaishe aisee kweli washamba mnaotoka kijijini na pesa za urithi wa mashamba mtaendelea kukumbatia umasikini milele?
Hesabu za kwenye makaratasi kwa biashara ya Bajaj ni rahisi sana, sasa nunua hiyo Bajaj uone cha moto!Tupe hesabu zako basi zinazosibitisha uchizi wake??
20,000x365days= 7,300,000 hiyo ni kwa mwaka mmoja.
Kwa 80 Mill unataka profit iwe sh ngapi kwa mwezi kwenda sawa na mtaji huo?Wengine wala sio washamba wakutoka vijijimi,wapo pia watumishi hapa mjini wanakopa mikopo kununua bajaj na kuwapa wahuni,
Na kuna mwingine anatoa milion themanini kununua kosta,halafu anasubiria hesabu ya laki au elfu themanini kwa siku,,
Daladala biashara kichaa ,huwa nawasikitikia sana
Faida anaweza asiile yeye wakaja kula wajukuuSio hao tu hata wenye nyumba, unakuta kagharamikia nyumba ya milioni 40 anakuja kupangisha laki kwa mwezi. Hapo faida anakuja kuiona baadaeeeeee
Narudia tena,Endelea kujifariji na pesa ambayo si yako!Hahaha hiyo nimeokota. Maana Sasa hivi saa 3 na dakika 54 naona macho Yako yanamakengezz
Hahaha njaa inafanya watu wachanganyikiwe🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ukiwa bungeni dili Ni nyingi hata unajua mifumo ya kukwepa kodi
Matajiri wengi wa kiarabu na kihind hapa bongo nyuma ya pazia wa nashare na wanasiasa
Hi biashara ya vyombo vya moto Tanzania imefilisi wengi bila connect unazama
Mziki wake sio wa kitoto mpaka ela yako irudi,na kuanza kupata hiyo inayoitwa faida hewa, kwa madereva hawa pasua kichwa,wengine tulishakuwepo huko miaka iyo tunajua,enzi za mwaibulaKwa 80 Mill unataka profit iwe sh ngapi kwa mwezi kwenda sawa na mtaji huo?
Ngojea nikuambie,bajaj labda kama hauna kazi uendeshe mwenyewe,na upate kijiwe kama kariakoo au maeneo ya town,kidogooo unaweza rudisha pesa yako,faida ikawa bajaj kuiuzaKwani utakuwa unategemea hiyo bajaji kwa kila kitu?? Hiyo biashara ni ya kuzungusha hela hata kama faida ni sio kihvyoo.
Kuna watu wanalisha familia mbili kwa bajaji mzee, nenda kitaa ujionee!
Narudia tena !Sawa ni ya kwako wewe hii 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
MbeyaOoooh,always nunua kitu kinachopanda thamani sio kinachoshuka,hasa wafanya kazi kwakua huna chakupoteza zaidi ya kuwekeza,ila kuna wazee wa bet hua huwaambii kitu kuna miji TZ ina bajaji kuliko public transport
We kaa hapo kwa shemeji,mwishoe aje akupige paipu nawewe, kuna mshkaji iyo milion kumi alienda kusini kununua korosho,alinunua kwa Kg 1300,kaja kuuza kg 4400, kanunua karibia awamu mbili, kapata faida chafu, sasaivi anasubiria ufuta,Wote hamna akili ,milioni kumi kwa sasa unafanya biashara gani sasa ? ,labda ufungue genge
Bora hata nyumba unaweza kuuza na ni dhamana nzuri kwa mikopo.Sio hao tu hata wenye nyumba, unakuta kagharamikia nyumba ya milioni 40 anakuja kupangisha laki kwa mwezi. Hapo faida anakuja kuiona baadaeeeeee
Afya ya akili tatizo kubwa sana linachangangiwa na jua Kali 🤣🤣🤣Tatizo la Afya ya akili unalo wewe unayepiga picha pesa za Kikundi Cha wanawake wenzio!