Shida ya kilimo na ufugaji ni uache vyote ufuate msalaba.Kila biashara inalipa UKIHADITHIWA.
Cha kushauri ""INVEST IN YOUR HOBBY""
Mi binafsi kilimo na ufugaji Hapana.
Nilikuwa na mashamba kibao ila nimeuza yoteee, SIFIKIRII TENA KURUDI KWENYE KILIMO NA UFUGAJI.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Warembo wapo wenye matakozNjoo tupige tungi hapa tabata
Sasa na invest vipi kwenye hobby ya kusasambua mbususu?Invest in your hobby.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Pitia hii 👇👇👇Sasa na invest vipi kwenye hobby ya kusasambua mbususu?
Kuhusu "Ni biashara gani" hapo tunasema "Invest in your Hobby" mimi binafsi napenda kunywa bia sanaa na kukesha bar zenye amsha.
Mi nikiendaga semina/kikao au visit yoyote ya kazini sehemu ile siku ya mwisho ya semina/visit silalagi guest, nakesha bar halafu asubuhi napanda gari kurudi kazini..!!!
Hii imenifanya nianzishe depo (Vinywaji kwa jumla) lakini pia sasa hivi nina host events kwenye bar kubwa kwa maelewano ya mwenye bar.
Kwasasa nina kampuni ambayo ni wakala wa kampuni 4 za pombe (bia, wine na vikali)
Hivyo nili invest kweye starehe sababu NAPENDA BATA HASAAAA.
Mfano tu nimeenda Nanenane na mil mbili na kitu ila nimerudi na elfu 60 tu..!!
Zote zimeishia City Garden, Nasoma, Mbeya Pazuri na zile bar nje ya Mbeya Pazuri kama John's Liquor
Mimi bwana napenda starehe.
Na wewe fikiria unachopenda halafu PITIA HUMO.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Ngoja niaze kugegeda warembo na kibamia waanze kunilipaPitia hii 👇👇👇
#YNWA
#YANGA_BINGWA
We mzee uliuza mashamba kumbe. Ulinishawishi nitaenda uko Mungu akijaalia.Kila biashara inalipa UKIHADITHIWA.
Cha kushauri ""INVEST IN YOUR HOBBY""
Mi binafsi kilimo na ufugaji Hapana.
Nilikuwa na mashamba kibao ila nimeuza yoteee, SIFIKIRII TENA KURUDI KWENYE KILIMO NA UFUGAJI.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Chuma chakavu hata 50 haifikiNilitaka kumpinga mleta mada ila baada ya hesabu nimegundua ni ufala kweli.hata kwa mwaka mtaji haurudi huku bajaji yenyewe ndani ya mwaka tu inakuwa hoi bin taabani, ikizingua ukaamua kuipeleka chuma chakavu hata laki 5 hazifiki.
Sasa tuambie wewe kwenye transportation industry inabidi uendeshe vyombo vyote vya ya moto? 😁😁kununua chombo cha moto! na kumpa mtu akuletee hesabu, ni ujinga,upumbavu,uzembe,uvivu wa kufikiri na ufujaji wa mtaji. ni masikini wa AKILI tu, ndio anaweza kufanya upumbavu huo.
Kila mwenye hela yake afanye anachopenda!Yaani Kuna watu akili kama zimepungua kichwani hivi unanunua bajaji milion 10 halafu unampa mtu mmoja awe anapiga deiwaka anakuletea 20k Kila siku na risk za kutosha hii ni akili Gani yaani hela za mashamba ya urithi nyumbani kwenu unatarajia hii biashara kichaa ikunufaishe aisee kweli washamba mnaotoka kijijini na pesa za urithi wa mashamba mtaendelea kukumbatia umasikini milele?