Umeeleweka mkuu.Utakuta unataka kununua gari,wakati mortgage ipo na hata nyumba kwa budget hiyo unatoboa kabisa,don't enter the dragon fire carge.
Kwa kawaida mradi wa Pole pole ndo solution ila.papara.kama.morning groly ndo mpango unatutesa watumishi
Watu wengi hawana uelewa na SACCOS ila ndio mkombozi wa ukweli kuliko mabenki,kama mahali ulipo kuna SACCOS imara yenye mtaji,ni bora sana kukopa huko,yaani pesa ni kama umepewa hata makato yao hayaumiziMkuu kama kwenye taasisi yako kuna saccos wekeza ukope huko. Benki wanatuibia sana watumishi
Kinachoniuma..hyo wanasema kodi..maji wananikata..umeme wananikata..sasa unafuu napata wapPAYE Tsh600,000/= kwa mwezi.
Nenda mortuary alafu jifanaye kutoka kama hujapigwa nyundo.Hivi ukiingia ni rahisi kujitoa kwenye huo mfumo?
Uko sahihi kabisa. Saccoss ndio mkombozi wa watumishi wa kipato cha chini. Watumishi wengi wenye mikopo bank wanaishi kwa unyonge sana kwa sababu ya riba kubwa na makato ya muda mrefu sana.Watu wengi hawana uelewa na SACCOS ila ndio mkombozi wa ukweli kuliko mabenki,kama mahali ulipo kuna SACCOS imara yenye mtaji,ni bora sana kukopa huko,yaani pesa ni kama umepewa hata makato yao hayaumizi
Wanachama wa SACCOS kubwa kubwa wanaenjoy sana mikopo nafuu,zingekuwa zimeenea kwa kiasi kikubwa nchi nzima,banks zingefunga milango.Uko sahihi kabisa. Saccoss ndio mkombozi wa watumishi wa kipato cha chini. Watumishi wengi wenye mikopo bank wanaishi kwa unyonge sana kwa sababu ya riba kubwa na makato ya muda mrefu sana.
Langu la ushauriMwanangu Liverpool VPN njoo hapa.
Hiyo Topup braza lazima uone loan kubwa ila ni TOP UP.Duh una salary ndefu mkuu.
Hiyo ni TOP UP braza.Kwa ww naona hauna haja ya kukopa kabisa una salary ndefu piah inaonekana upo taasisi nzuri ila sisi walimu lazima twende tukachukue mil 3
Vip kukopa na kujenga nyumba ya kupangisha mkuu..ni wazo zuri ama ni kuzika tena pesa.Languu la ushauri
1. Kopa ukazalishe na sio kuzika fedha.
Kuna mtu anakopa ili akajenge halafu akimaliza kujenga anaanza kutoa milio.
Kopa ukazalishe, hiyo hela fanya jambo la kuzalishia halafu faida ndio fanya lengo lako
Mfano:- kopa jenga guest, halafu faida ya biashara jengea nyumba yako ya kuishi.
2. Kama ni biashara, Kopa ukaongeze mtaji wa biashara na sio ukaanzishe biashara.
Unaduka lako sehemu, lakini umeona bidhaa fulani inalipa na soko umeliona ila huna mtaji wake.
Basi kopa ukaliteke soko ila sio ukope ili uanze na biashara from zero.
Kifupi:- Mkopo ukute biashara ipo inaishi na sio biashara ikute mkopo.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Kuhusu "Ni biashara gani" hapo tunasema "Invest in your Hobby" mimi binafsi napenda kunywa bia sanaa na kukesha bar zenye amsha.Vip kukopa na kujenga nyumba ya kupangisha mkuu..ni wazo zuri ama ni kuzika tena pesa.
Hakuna mikopo kandamizi sema watu hawana elimu ya fedha, Financial knowledge is important.Kuna saccos zina kopesha kutokana na ulichoweka na riba ni ndogo bank hujipatia fedha pitia mikopo na wanakandamiza sana watumishi hususani walimu ambao ni kundi lipo desperate sana na kuwawekea mikopo kandamizi na riba kubwa