mtu wa system
JF-Expert Member
- Mar 30, 2025
- 375
- 607
Usifikirie kuajiriwa kwa iyo kazi yako utapiga sn hela mtaani- Mimi ni Land consultant, sijaajiriwa
Usifikirie kuajiriwa kwa iyo kazi yako utapiga sn hela mtaani- Mimi ni Land consultant, sijaajiriwa
Akakope benki nyingine Kuna Taasisi zaidi ya 20 huko ESS...Mtumishi aliekopa miaka 10, lazima atarudi Ku top up. Hawezi kutoboa miaka yote hiyo bila kurudi bank.
HaswaUki top up take home inapungua?
Yeah wapo watumishi wa umma wengi tu wamejenga nyumba hadi 10,Kwa hiyo unategemea mtumishi wa serikali ajenge Nyumba ya million 200/300. Hizo ndio level zao za milioni 35,45,55
PIGIA HESABU ILE PAYE YAKE YA TSHS 600000 UTAPATA BASIC YAKE.Huo mshahara wake ni shilingi ngapi?
Haya mariba yao yanatia hasira mnooo.Mkuu kama kwenye taasisi yako kuna saccos wekeza ukope huko. Benki wanatuibia sana watumishi
Nimeona liquidation hiyo, hapo ni topup Mzee bora uchukur benk nyingine.Hiyo Topup braza lazima uone loan kubwa ila ni TOP UP.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Kada zotee serikalini zinaanza na II hiyo ni type writing nimekosea.Kwa kada yangu na elimu yangu inaanza principal II kisha ndiyo principal I. Na kwa kada yangu hutoki senior kwenda principal II mpaka usubmit MA au postgraduate diploma. Ila pia kuifikia E ni miaka mitatu ya kua Afisa II coz E anaipata Afisa I.
Itakua tofauti na yako mnayoanzia principal I kisha mnaenda principal II.
Niliwahi kusikia ualimu hauna muundo huu.Kada zotee serikalini zinaanza na II hiyo ni type writing nimekosea.
Na unaanzia C, D, E, F ,G inategemea na degree yako.
Wenye degree za miaka 3 huanzia D
Wenye Degree za miaka 3 na post graduate kama CPA na lawyers huanza na E
Wenye Degree za miaka 4 huanza na E.
Baada ya kutoka kwa muundo mpya sasa hivi Masters ina ulazima na umuhimu sanaaa.
Huwezi kuwa mkuu wa Divisheni au Kitengo kamili bila masters
Kuna level ya daraja ukifika, hupandi bila Masters.
Hakuna muundo wako wala wangu.
Muundo ni MMOJA wa SERIKALI YA CCM.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Na ndani ya miaka hiyo mitatu usitop up bora uchukue mkopo mpya.Mabenk ndio chanzo cha umasikini wa watumishi wengi nchini.
Na usirogwe uchukue mkopo wa miaka mingi,umezidi sana ni WA miaka 3.
Usijefanya kosa linaitwa kutopup,utajuta bank hazina huruma na pesa yakoNa ndani ya miaka hiyo mitatu usitop up bora uchukue mkopo mpya.
Soma tena nilichokiandika.Niliwahi kusikia ualimu hauna muundo huu.
Wao mtu kupata masters siyo sehemu ya kigezo kupanda.
Hii ikasababisha nihisi kila kada ina muelekeo wake
-kwa mishahara hiyo ukinunua Gari ya 50M ni ndoto,Kada zotee serikalini zinaanza na II hiyo ni type writing nimekosea.
Na unaanzia C, D, E, F ,G inategemea na degree yako.
Wenye degree za miaka 3 huanzia D
Wenye Degree za miaka 3 na post graduate kama CPA na lawyers huanza na E
Wenye Degree za miaka 4 huanza na E.
Baada ya kutoka kwa muundo mpya sasa hivi Masters ina ulazima na umuhimu sanaaa.
Huwezi kuwa mkuu wa Divisheni au Kitengo kamili bila masters
Kuna level ya daraja ukifika, hupandi bila Masters.
Hakuna muundo wako wala wangu.
Muundo ni MMOJA wa SERIKALI YA CCM.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Mshahara haukupi mavuno utakayo ila mshahara hukupa mbegu ya kufikia mavuno utakayo.-kwa mishahara hiyo ukinunua Gari ya 50M ni ndoto,
-yani hayo madaraja hadi mwisho hazifiki hata 5m,
unless kuwe na housing allowance like 500,000, transport allowance 300,000, communication allowance 200,000, extraduty 700,000 ndio unaweza kusavaivu
Rudi bongo mkuu,NMB wanakusubiri uwamalizie mikopo yao..just jokingMshahara haukupi mavuno utakayo ila mshahara hukupa mbegu ya kufikia mavuno utakayo.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Hiii ni Bank gani mbona charges n kubwa mno, Chukua NCBA_ ya Kenya, IPO kwa mfumoMoja kwa moja kwenye mada.
Leo ni mapumziko nikaamua kuzurula kwenye akaunti yangu ya ESS(Watumishi Portal).
Kilichonishtua hadi kuandika mada hii ni kitu kinaitwa "Processing Fee" baada ya kuona ni Tsh871,053.93/= wakati mkopo unaombwa kwenye mfumo.
Na gharama zingine kama bima ni kubwa sana.
Mimi naona kama mikopo haina msaada kwa Mtumishi wa Umma kama kuna pesa nyingi benki inakata kabla hata mkopo haujapatikana.
Bora kuandaa mazingira ya rushwa ili kujipatia pesa kuliko kunyonywa na benki.
Hiii ni Bank gani , Chukua NCBA_ ya Kenya, IPO kwa mfumoMoja kwa moja kwenye mada.
Leo ni mapumziko nikaamua kuzurula kwenye akaunti yangu ya ESS(Watumishi Portal).
Kilichonishtua hadi kuandika mada hii ni kitu kinaitwa "Processing Fee" baada ya kuona ni Tsh871,053.93/= wakati mkopo unaombwa kwenye mfumo.
Na gharama zingine kama bima ni kubwa sana.
Mimi naona kama mikopo haina msaada kwa Mtumishi wa Umma kama kuna pesa nyingi benki inakata kabla hata mkopo haujapatikana.
Bora kuandaa mazingira ya rushwa ili kujipatia pesa kuliko kunyonywa na benki.
kwa TGS kuja kujenga gorofa, kununua range kuwa na milioni 100 ya chap chap kwenye account kabisaMshahara haukupi mavuno utakayo ila mshahara hukupa mbegu ya kufikia mavuno utakayo.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Mkuu Nina swali,LGA kwa mfano hizi kada zenye bodi kama wahasibu,Sheria,engineers wanaanza na TGS E na ili uwe mkuu wa idara proper inabidi uwe senior sasa naona kama wao ukuu wa idara kupata ni mapema tu kulinganisha na wangeanzia kwenye TGS DHapana
Wewe umezungumzia mwenye degree ya miaka 3
1. Anaanza TGS D
2. Baada ya miaka mi4 anakuja E
3. Baada ya miaka mi3 anakuja F (Senior)
4. Baada ya miaka mi3 G (Principle I)
5. Baada ya miaka mi3 H (Principle II)
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Ukuu wa Idara siyo kupanda tu.Mkuu Nina swali,LGA kwa mfano hizi kada zenye bodi kama wahasibu,Sheria,engineers wanaanza na TGS E na ili uwe mkuu wa idara proper inabidi uwe senior sasa naona kama wao ukuu wa idara kupata ni mapema tu kulinganisha na wangeanzia kwenye TGS D