Watumishi wa Umma tupeane ushauri kuhusu mikopo inayotolewa na Taasisi mbali mbali za kifedha

Watumishi wa Umma tupeane ushauri kuhusu mikopo inayotolewa na Taasisi mbali mbali za kifedha

Moja kwa moja kwenye mada.

Leo ni mapumziko nikaamua kuzurula kwenye akaunti yangu ya ESS(Watumishi Portal).

Kilichonishtua hadi kuandika mada hii ni kitu kinaitwa "Processing Fee" baada ya kuona ni Tsh871,053.93/= wakati mkopo unaombwa kwenye mfumo.

Na gharama zingine kama bima ni kubwa sana.

Mimi naona kama mikopo haina msaada kwa Mtumishi wa Umma kama kuna pesa nyingi benki inakata kabla hata mkopo haujapatikana.

Bora kuandaa mazingira ya rushwa ili kujipatia pesa kuliko kunyonywa na benki.
Aisee huu mshahara unapokea kila mwezi!! Yaani kwa mwalimu mpaka apokee mkopo wa milioni 30+ ndani ya miezi 100+ wa hiyo take home yako kwa mwezi, ni lazima awe amefanya kazi kwa miaka zaidi ya 10+ na kamshahara kake ka milioni 1+!!!!

Dah! Hii tofauti ya matabaka kwenye hii nchi itakuja kuisha kweli!!!

All in all, mabenki yote kwenye hii nchi yanawaibia sana wafanyakazi, wafanyabiashara na pia wakulima kutokana na riba zao kandamizi na pia makato mengi yasiyo na kichwa wala miguu.
 
Utakuta unataka kununua gari,wakati mortgage ipo na hata nyumba kwa budget hiyo unatoboa kabisa,don't enter the dragon fire carge.
Kwa kawaida mradi wa Pole pole ndo solution ila.papara.kama.morning groly ndo mpango unatutesa watumishi
Naomba ufafanue kiongozi
 
Kukopa then kwenda kujenga nyumba mbona fresh tu acheni uoga me nashauri ukiwa mfanya kazi wa serikali usiwe na mind set ya kuwa tajiri sanaaaaa we kuwa na nyumba moja uwe na gari na kibiashara chako umemaliza ukitaka zaidi ya hapo utakufa mapema hela huna
Mfanyakazi wa serikali haruhusiwi kuwa tajiri??

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Kwa muundo wa utumishi wa watumishi wengi ni kwamba unapanda cheo baada ya miaka 3.

Kwa mfano kwa kada yangu na level ya elimu ni kwamba unaanza daraja la 2, baada ya miaka 3 unapanda daraja la kwanza na mshahara unaenda E, baada ya miaka 3 tena unaenda senior, kisha baada ya miaka 3 utaenda principal (ila hauendi mpaka uwe na MA au postgraduate diploma)

So kama timing zako zikamiss unaweza jikuta unafika muda wa kusoma ili uende Principal ukajikuta mtonyo huna ukakwama hapo na ukileta masihara unastaafu na level hiyo ya cheo na mshahara.

So hata kukopa inabidi uangalie muda gani utaweza kuhema na kusogea mbele bila kua financially incapacitated
Hapana
Wewe umezungumzia mwenye degree ya miaka 3
1. Anaanza TGS D
2. Baada ya miaka mi4 anakuja E
3. Baada ya miaka mi3 anakuja F (Senior)
4. Baada ya miaka mi3 G (Principle I)
5. Baada ya miaka mi3 H (Principle II)

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Mfanyakazi wa serikali haruhusiwi kuwa tajiri??

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Unajua maana ya utajiri hebu niambie mtu yyte aliyeajiriwa serikalini haswa tamisemi halaf akawa tajiri namaanisha tajiri sio kama haruhusiwi anaruhusiwa anaweza kuwa tajiri sasa yaan ukishakuwa mtumishi wa umma we n maskini tu huwez kuwa unakaa sehem unasubiri milion labda 200 mpka miaka 60 useme ww tajiri wakat mtu iyobanaingiza siku 2kwenye biashara zake na ukiwa na uwezo wa kuipata iyo hata kwa miez mitatu huwez kuwa mtumishi wa umma trust me so hakuna mtumishi wa umma tajiri kamwe
 
Hapana
Wewe umezungumzia mwenye degree ya miaka 3
1. Anaanza TGS D
2. Baada ya miaka mi4 anakuja E
3. Baada ya miaka mi3 anakuja F (Senior)
4. Baada ya miaka mi3 G (Principle I)
5. Baada ya miaka mi3 H (Principle II)

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Kwa kada yangu na elimu yangu inaanza principal II kisha ndiyo principal I. Na kwa kada yangu hutoki senior kwenda principal II mpaka usubmit MA au postgraduate diploma. Ila pia kuifikia E ni miaka mitatu ya kua Afisa II coz E anaipata Afisa I.

Itakua tofauti na yako mnayoanzia principal I kisha mnaenda principal II.
 
Hapana
Wewe umezungumzia mwenye degree ya miaka 3
1. Anaanza TGS D
2. Baada ya miaka mi4 anakuja E
3. Baada ya miaka mi3 anakuja F (Senior)
4. Baada ya miaka mi3 G (Principle I)
5. Baada ya miaka mi3 H (Principle II)

#YNWA
#YANGA_BINGWA
- mdogo wangu kaanza na 2.89m akipanda atakuwa na 3.6m
 
Back
Top Bottom