Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 7,900
- 18,457
NakaziaUsikope zaidi ya miaka 2. Vinginevyo unatafuta maumivu.
Riba za taasisi nyingi kwenye nchi yetu siyo rafiki kwa mteja.
#YNWA
YANGA_BINGWA
NakaziaUsikope zaidi ya miaka 2. Vinginevyo unatafuta maumivu.
Riba za taasisi nyingi kwenye nchi yetu siyo rafiki kwa mteja.
Huyo jamaa ana top up ndo mana unaona ana mshahara mkubwa we huoni take home milion 34Kukopa ukajenge? Nimejaribu kuwaza tu
Matumizi ya mwaka
1. Kulisha familia 6,000,000
2. Usafiri 2,000,000
3. Mavazi ya familia nzima 2,500,000
4. Kuonga Kwa mwaka, yaan umeonga mara kumi tu@50,000=600,000. Na hapa ni Kwa wale mabahili, kumbuka kuhonga ni kuanzia vinywaji, lodge, nauli, posho ya mechi nk
5. Ada ya mtoto/watoto. Tufanye mmoja tu = 1,200,000 Kwa mwaka. Hii ni shule ya basi la njano bila nauli
6. Kodi ya Nyumba 250,000/300,000
7. Mengineyo kama outing, vocha, beer, michango ya misiba na harusi 2,000,000.
NOTE: Hapa namaanisha nini, utakuta mtu matumizi yote hapo juu hayaogopi na Wala hayamuumi ila moja tu la kulipa kodi ya Nyumba bila kujua Hilo ni hitaji kama yalivyo mengine. Kwa sababu linamuuma anaamua kukopa bila mipango ili akajenge kwa haraka Aishi kwake then Nyumba either inaisha au inakaribia kuisha inabadilisha matumizi ya hivyo vingine vyote. Kula shida, bar unapaona kituo Cha polisi, vazi moja mpaka watu wanahisi lamda ni uniform. Plan mipango isiyoathiri mahitaji mengine maana kujenga inasolve tatizo moja tu la kukwepa kodi.
Kwa mshahara wa huyo mdau nakopa mikopo ya mwaka mwaka tu ndani ya miaka minne Nyumba imekamilika na Sina stress
Huo mshahara wake ni shilingi ngapi?Kukopa ukajenge? Nimejaribu kuwaza tu

Hafiki 5mKwa ww naona hauna haja ya kukopa kabisa una salary ndefu piah inaonekana upo taasisi nzuri ila sisi walimu lazima twende tukachukue mil 3
Inategenea unataka kukopa kwaajili ya nini.Moja kwa moja kwenye mada.
Leo ni mapumziko nikaamua kuzurula kwenye akaunti yangu ya ESS(Watumishi Portal).
Kilichonishtua hadi kuandika mada hii ni kitu kinaitwa "Processing Fee" baada ya kuona ni Tsh871,053.93/= wakati mkopo unaombwa kwenye mfumo.
Na gharama zingine kama bima ni kubwa sana.
Mimi naona kama mikopo haina msaada kwa Mtumishi wa Umma kama kuna pesa nyingi benki inakata kabla hata mkopo haujapatikana.
Bora kuandaa mazingira ya rushwa ili kujipatia pesa kuliko kunyonywa na benki.
Sasa take home milioni 34 ndogo?Huyo jamaa ana top up ndo mana unaona ana mshahara mkubwa we huoni take home milion 34
Million 34 haijengi hata nyumbaSasa take home milioni 34 ndogo?
Kwa hiyo unategemea mtumishi wa serikali ajenge Nyumba ya million 200/300. Hizo ndio level zao za milioni 35,45,55Million 34 haijengi hata nyumba
😆😂😀😁 iyo milion 45 mbona mtumishi kwake n nyingi sn hawez fika nyumba ya kiadi icho halaf asitambe mtaani na kuwaona wenzake wote malofa me nakwambia mtumishi kajenga nyumba bei ghali labda milion 30Kwa hiyo unategemea mtumishi wa serikali ajenge Nyumba ya million 200/300. Hizo ndio level zao za milioni 35,45,55