Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 7,900
- 18,457
Seniority inaangalia muda uliofanya hiyo kazi, duration yako kwenye hiyo idara.Mkuu Nina swali,LGA kwa mfano hizi kada zenye bodi kama wahasibu,Sheria,engineers wanaanza na TGS E na ili uwe mkuu wa idara proper inabidi uwe senior sasa naona kama wao ukuu wa idara kupata ni mapema tu kulinganisha na wangeanzia kwenye TGS D
#YNWA
#YANGA_BINGWA