Kama umenunua Bajaji ya Milioni 20 ili upewe 20k kwa siku basi unafanya biashara kichaa

Biashara ya kufanya kwa hela hiyo na ikupe faida ni duka la mangi tu, ukipata location nzuri hukosi 50k kwa siku
 
Yaani Kuna watu akili kama zimepungua kichwani hivi unanunua bajaji milion 10 halafu unampa mtu mmoja awe anapiga deiwaka anakuletea 20k Kila siku na risk za kutosha hii ni akili Gani yaani hela za mashamba ya urithi nyumbani kwenu unatarajia hii biashara kichaa ikunufaishe aisee kweli washamba mnaotoka kijijini na pesa za urithi wa mashamba mtaendelea kukumbatia umasikini milele?
Ujinga wa hali ya juu.
 
Hayo ndio maisha atuwezi lingana mitazamo💯
 
Yaani Kuna watu akili kama zimepungua kichwani hivi unanunua bajaji milion 10 halafu unampa mtu mmoja awe anapiga deiwaka anakuletea 20k Kila siku na risk za kutosha hii ni akili Gani yaani hela za mashamba ya urithi nyumbani kwenu unatarajia hii biashara kichaa ikunufaishe aisee kweli washamba mnaotoka kijijini na pesa za urithi wa mashamba mtaendelea kukumbatia umasikini milele?
Ulitarajia bajaji akupe milioni?
 
Ni biashara nzuri yakusaidiana kwa vijana sema usiweke mkataba Hadi uone uliompa chombo chako amaendasha sahihi SIO mnasaini mkataba mwezi mmoja bajaji imepata ajali
 
Mimi binafsi kama ningekuwa na hiyo Mil 10...cash, ningetafuta eneo nje na makazi ya watu, ningeanzisha ufugaji wa nguruwe nikianza na mbegu majike 10 madume wawili kama nitazingatia kanuni za ufugaji vizuri ndani ya mwaka mmoja tu.....nina shamba la nguruwe za ya 60+ hivyo ndani ya miaka miwili sio mwenzenu tena kila nikisema niuze sikozi mil 15 kila baada ya miezi mitatu....kwa wanaojua hii biashara hawawezi pingana na Mimi....sumu kubwa ya ufugaji wa Hawa wadudu ni baridi Kali....haya magonjwa engine madogo madogo ni kuzingatia chanjo tu. Wale wenye Imani tofauti, wazo hili haliwahusu. Nawasilisha🙏
 
Jamani nimeuza kiwanja nina million 35 hapa naomba ushairi bishara gani nifanye?
Je niweke bodaboda 6 mtaani nisubiri daily waniletee fungu
Ikiwa hela imeikuta wazo la biashara fanya hiyo biashara, ila ikiwa wazo la biashara ndilo linaloikuta hela USIFANYE HIYO BIASHARA.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Mimi binafsi kama ningekuwa na hiyo Mil 10...cash, ningetafuta eneo nje na makazi ya watu, ningeanzisha ufugaji wa nguruwe nikianza na mbegu majike 10 madume wawili kama nitazingatia kanuni za ufugaji vizuri ndani ya mwaka mmoja tu.....nina shamba la nguruwe za ya 60+ hivyo ndani ya miaka miwili sio mwenzenu tena kila nikisema niuze sikozi mil 15 kila baada ya miezi mitatu....kwa wanaojua hii biashara hawawezi pingana na Mimi....sumu kubwa ya ufugaji wa Hawa wadudu ni baridi Kali....haya magonjwa engine madogo madogo ni kuzingatia chanjo tu. Wale wenye Imani tofauti, wazo hili haliwahusu. Nawasilisha🙏
Kila biashara inalipa UKIHADITHIWA.
Cha kushauri ""INVEST IN YOUR HOBBY""

Mi binafsi kilimo na ufugaji Hapana.

Nilikuwa na mashamba kibao ila nimeuza yoteee, SIFIKIRII TENA KURUDI KWENYE KILIMO NA UFUGAJI.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Back
Top Bottom