Hapo ulipo kama umesoma ukipiga hesabu ya ada, chakula na nauli ni zaidi ya 20m kwa shule za kawaida lakini ajabu kazi unayofanya unalipwa mshahara 300k kwa mwezi!!! Kuna biashara kichaa zaidi ya hiyo!? Bajaji kuingiza 20k kwa siku kwa mtaji wa 10m ndo umeona ajabu wakati kwa mwezi ni 600k (zaidi ya mshahara wako)Yaani Kuna watu akili kama zimepungua kichwani hivi unanunua bajaji milion 10 halafu unampa mtu mmoja awe anapiga deiwaka anakuletea 20k Kila siku na risk za kutosha hii ni akili Gani yaani hela za mashamba ya urithi nyumbani kwenu unatarajia hii biashara kichaa ikunufaishe aisee kweli washamba mnaotoka kijijini na pesa za urithi wa mashamba mtaendelea kukumbatia umasikini milele?
Bongo jua Kali watu mnadata🤣🤣🤣🤣🤣Afya ya akili inakusibu wewe mwanakikundi Cha Wanawake wenzio !
Wana Kikundi wakigundua huwa unalingishia pesa zao hapa JF watakufukunyua mukunyu !
Akili Yako kaiflash iwe mpyaHapo ulipo kama umesoma ukipiga hesabu ya ada, chakula na nauli ni zaidi ya 20m kwa shule za kawaida lakini ajabu kazi unayofanya unalipwa mshahara 300k kwa mwezi!!! Kuna biashara kichaa zaidi ya hiyo!? Bajaji kuingiza 20k kwa siku kwa mtaji wa 10m ndo umeona ajabu wakati kwa mwezi ni 600k (zaidi ya mshahara wako)
Ni tatizo kubwa hasa kwenu Wanawake!Afya ya akili tatizo 🤣🤣🤣🤣🤣
ngoja tu niwe mkwel sjui n lini ntaidhika milion 10 daaah.....toka nishike milion 2 mwaka 2022 sijawah shika zaid ya hapo daah rip to meYaani Kuna watu akili kama zimepungua kichwani hivi unanunua bajaji milion 10 halafu unampa mtu mmoja awe anapiga deiwaka anakuletea 20k Kila siku na risk za kutosha hii ni akili Gani yaani hela za mashamba ya urithi nyumbani kwenu unatarajia hii biashara kichaa ikunufaishe aisee kweli washamba mnaotoka kijijini na pesa za urithi wa mashamba mtaendelea kukumbatia umasikini milele?
😄😄Mziki wake sio wa kitoto mpaka ela yako irudi,na kuanza kupata hiyo inayoitwa faida hewa, kwa madereva hawa pasua kichwa,wengine tulishakuwepo huko miaka iyo tunajua,enzi za mwaibula
Mbona huonyeshi tena Salio la Kikundi chenu Cha kina mama?au mumeo amekupokonya simu yake?Bongo jua Kali watu mnadata🤣🤣🤣🤣🤣
Nyumba ya milioni arobaini kodi haipungui laki tatu kwa mwezi,kwa maeneo ukanda wa tegeta,bunju,Sio hao tu hata wenye nyumba, unakuta kagharamikia nyumba ya milioni 40 anakuja kupangisha laki kwa mwezi. Hapo faida anakuja kuiona baadaeeeeee
Kuna watu vituko 🤣🤣🤣🤣🤣Wengine wala sio washamba wakutoka vijijimi,wapo pia watumishi hapa mjini wanakopa mikopo kununua bajaj na kuwapa wahuni,
Na kuna mwingine anatoa milion themanini kununua kosta,halafu anasubiria hesabu ya laki au elfu themanini kwa siku,,
Daladala biashara kichaa ,huwa nawasikitikia sana
Umasikini umekuchanganya wewe na kukurupuka kuonyesha pesa za Kikundi chenu Cha kina mama!Nimegundua najibizana na mtu aliechanganyikiwa na umasikini sikujibu tena 🤣🤣🤣🤣🤣
Onyesha hata million 1 tu kwenye account Yako🤣🤣🤣🤣Umasikini umekuchanganya wewe na kukurupuka kuonyesha pesa za Kikundi chenu Cha kina mama!
Mkuu kumbe huyu ni mwanamkeTatizo la Afya ya akili unalo wewe unayepiga picha pesa za Kikundi Cha wanawake wenzio!
Nimeshawahi kummiliki mamako.Tatizo ccm Hamna akili,umewahi miliki bajaji wewe??au ndo wale wale wapu$$$mbavu waandamizi???
Onyesha hata million 1 tu kwenye account Yako 🤣🤣🤣🤣Endelea kukenulia meno pesa za Vikoba za Kikundi Cha wanawake wenzio waje wakufukunyue mukunyu!
UmerogwaMe naonA biashara kichaa ni ya kujenga nyumba ya kupangisha
Ifafanue hii ishu chiefMilioni kumi ukiingiza kwenye biashara ya chuma chakavu ukataget sehemu nzuri watu wakawa wanaleta chuma vizuri kwa miezi 3 unakaribia milioni 20
Tunajenga nyumba million 100 unakula Kodi laki 3Umerogwa