Kama umeoa tafuta na kamchepuko Kwa akili

Braza uishi maisha yote, mimi nina miaka 30, nimeoa na nina mke mzungu na watoto wawili kwa kweli nina ka mchepuko kangu ka miaka 19 yaani kinanipa raha balaa...yaani siku nikiwa na stress za mzungu chap naenda kwa katoto kangu ka chuo
 
Huku JF watoto wajinga mno...mnamshangaa mtoa mada kuwa 40 years...ninyi kenge mno mwenzenu kajaliwa kuishi na kuishi ni baraka, wewe na miaka 20 yako na mikeivanti mnayokunywa asilimia 45% ya vijana wa hovyo wa Tz uhakika wakufika miaka 40 ni wa shaka, hivyo msiwe mnaropoka...mwache mwamba ale maisha ninyi si mnaombwa vocha na vitoto wenzenu hamna hela...waache wazee wale vibinti vyezenu vya miaka 20...mimi nina miaka 30 na nakula wasichana kuanzia miaka 18-20 yaani wananigombania
 
Ndugu ukiwa na mke hata akionyesha ni mwaminifu kiasi gani tafuta mchepuko.Mchepuko unafaida zifuatazo,unaact kama buffer na kimsingi unasaidia kujifanya ndoa yako iwe stable zaidi.mfano badala ya kukaa home unagombana na mke wako aliyenuna unachomoka unaenda Kwa mchepuko anakupeti peti ,baadaye unarudi zako home ulalala kimya.wakati mwingine upo na mke wako kakunyima unyumba unatoka taratibu unaenda Kwa mchepuko wako .unajua mchepuko Huwa hadeki na anakupa yote.ni nadra kukuta mchepuko kanuna.mimi hapa Nina forty years ninakamchepuko kangu kana miaka 22.kimsingi kananijali sana siku hizi.Huyo mwanamke anajifanya yupo busy sana na kazi kuliko familia ,Kwa kifupi mimi sio mtu Muongeaji sana.unaweza ukawa upo na mtu anajifanya yeye ndio anajua Kila kitu duniani.faida nyingine ya kuwa na mchepuko aikubukiachwa huwezi waza kujinyonga walahi unaondoka ukiwa happy.ili mke wako atambue udhaifu wake mtafutie mchepuko,kama anaakili ata Fanya reflection ni wapi alikukosea.kama unataka kufa na stress Baki na mwanamke mmja,yaani uwe Kila wakati unakafikiria ka mwanamke kamoja tuu?.
bila ya mchepuko utakufa mapema
 
Upo sahihi sana….nakuelewa vizuri sana….wanawake waliolewa wana underestimate power ya michepuko lkn michepuko ndio inayoleta amani ndani ya nyumba.
 
Back
Top Bottom