Kama humu JF na mitandao mingine ya kijamii upo na umeolewa, changanya na zako vinginevyo ndoa itakushinda humu wengi wana stress za kutoolewa na washapitisha miaka ya 30 na kitu, ukiangalia wanavyojipambanua humu yaani full stress, kuwadharau wanaume tu kisa hamjapata nafasi ya kuolewa.
Nakumbuka kamsemo ka tangu 2015 ka free p yaani kujiuza kujiuza. Oleweni tu jamani acheni kutoa mastress yenu humu ndani na kujifanya maisha yenu yapo perfect sana na kuona walioolewa wamekosea sana.
Kuolewa kuna raha yake bwana hata kama umeolewa na mwanaume wa aina gani. Mwanaume wako tena wa ndoa ni raha jamani. Awe broke, sijui free p, yukoje yukoje, saidianeni maisha usisikilize pumba za wanawake waliokosa kuolewa humu ndani.
Unakuta kila uzi ukiuangalia unaona kila mwanamke anajipambanua kwa kutaka mwanaume mwenye pesa sana ndoa haziji kwa staili hiyo na humu kwenye ndoa ni mchakamchaka pamoja sio kusubiri kila kitu upewe. Mtatumika tu na ndoa hampati kwa roho zenu za kuweka pesa mbele.
So mwanamke mwenzangu uliyepo kwenye ndoa changanya na zako ukiwa humu ndani. Awa wengine waache waendelee kucheza kwaito kwenye harusi za wenzao mpaka visigino vikatae.