Kama umeolewa, changanya na zako ukiwa humu JF

Umeeleweka ila sijui kama watakuelewa
 
tell them single mothers
Utasikia hata hapa hapa kwenye huu uzi,nina pesa sijui nina elimu,mwanangu nitamlea mwenyewe wakati ikifika usiku akijikuta mwenyewe with that huge bed alone haaaaa anawawaza hadi ma bff wa shule ya msingi.
Nishakua single na baada ya kuolewa nimegundua ni best part of the life.hawa wanaoongea -ve kuhusu maisha ya ndoa hawajapata hiyo nafasi
 
nina zawadi yako ya xmass
 
Watakavyo chukia baada ya kusoma hili andiko [emoji3] . Anyway, watakuelewa tu.
 
Billions of likes na makiss kibao. We una akili sana sema basi tu. Umeongea maneno mazito sana dada yangu.... Sana. Mi huwa nakaa pemben nawacheck wale wanaosema eti kwa sasa hawatak wanaume kumbe wao ndo hawatakiw. Mtu umri ameshafika jioni... Na wanaume tunachagua sana. Acha tu wawe maids na stage show wa kwaito. By the way naweza pata namba yako ya simu ili nimpigie mumeo kupitia simu yako kumpongeza kuwa amepata mke? Thank yu

Kama humu jf na mitandao mingine ya kijamii upo na umeolewa,changanya na zako vinginevyo ndoa itakushinda
Humu wengi wana stress za kutoolewa na washapitisha miaka ya 30 na kitu,ukiangalia wanavyojipambanua humu . Yaani full stress,kuwadharau wanaume tu kisa hamjapata nafasi ya kuolewa,
Nakumbuka kamsemo ka tangu 2015 ka free pu..mb.. Haaaa yaani kujiuza kujiuza.....
Oleweni tu jamani acheni kutoa mastress yenu humu ndani na kujifanya maisha yenu yapo perfect sana...na kuona walioolewa wamekosea sana..
Kuolewa kuna raha yake bwana hata kama umeolewa na mwanaume wa aina gani.
Mwanaume wako tena wa ndoa ni raha jamanii..
Awe broke,sijui free p,yukoje yukoje,saidianeni maisha.usisikilize pumba za wanawake waliokosa kuolewa humu ndani...
Unakuta kila uzi ukiuangalia unaona kila mwanamke anajipambanua kwa kutaka mwanaume mwenye pesa sana..ndoa haziji kwa staili hiyo na humu kwenye ndoa ni mchakamchaka pamoja.sio kusubiri kila kitu upewe.
Mtatumika tu na ndoa hampati kwa roho zenu za kuweka pesa mbele...
So mwanamke mwenzangu uliyepo kwenye ndoa changanya na zako ukiwa humu ndani.
Awa wengine waache waendeleee kucheza kwaito kwenye harusi za wenzao mpaka visigino vikatae.
 
Mimi ni mwanamke my dear.ila nina kaka na wadogo zangu wakiume aisee kaka washaoa bado wadogo zangu nina waonea huruma sanaa.maana hii mitandao imebadilisha roho za watu sana...mama zetu mbona waliweza jamani
Unamiaka mingapi?
 
Mwanaume uingie kulala umkute mkeo kalala uchi hasira zinahama lazima utaomba game tu au usiku umelala unasikia umeguswa na tako lazima upapase
Hahahh yaani hata utoke na uchovu wa namna gani kazini na mihangaikoni kwa ujumla,ukifikiria kukumbatiwa KIHALALI yaani na mume wako ambaye hadi mchungaji anajua mnachofanya hahahahah ni raha sana
 
Kama humu jf na mitandao mingine ya kijamii upo na umeolewa,changanya na zako vinginevyo ndoa itakushinda
Humu wengi wana stress za kutoolewa na washapitisha miaka ya 30 na kitu,ukiangalia wanavyojipambanua humu . Yaani full stress,kuwadharau wanaume tu kisa hamjapata nafasi ya kuolewa,
Nakumbuka kamsemo ka tangu 2015 ka free pu..mb.. Haaaa yaani kujiuza kujiuza.....
Oleweni tu jamani acheni kutoa mastress yenu humu ndani na kujifanya maisha yenu yapo perfect sana...na kuona walioolewa wamekosea sana..
Kuolewa kuna raha yake bwana hata kama umeolewa na mwanaume wa aina gani.
Mwanaume wako tena wa ndoa ni raha jamanii..
Awe broke,sijui free p,yukoje yukoje,saidianeni maisha.usisikilize pumba za wanawake waliokosa kuolewa humu ndani...
Unakuta kila uzi ukiuangalia unaona kila mwanamke anajipambanua kwa kutaka mwanaume mwenye pesa sana..ndoa haziji kwa staili hiyo na humu kwenye ndoa ni mchakamchaka pamoja.sio kusubiri kila kitu upewe.
Mtatumika tu na ndoa hampati kwa roho zenu za kuweka pesa mbele...
So mwanamke mwenzangu uliyepo kwenye ndoa changanya na zako ukiwa humu ndani.
Awa wengine waache waendeleee kucheza kwaito kwenye harusi za wenzao mpaka visigino vikatae.
Du hatari sana
 
Back
Top Bottom