Kama umeolewa, changanya na zako ukiwa humu JF

Umeeleweka ila sijui kama watakuelewa
 
tell them single mothers
Utasikia hata hapa hapa kwenye huu uzi,nina pesa sijui nina elimu,mwanangu nitamlea mwenyewe wakati ikifika usiku akijikuta mwenyewe with that huge bed alone haaaaa anawawaza hadi ma bff wa shule ya msingi.
Nishakua single na baada ya kuolewa nimegundua ni best part of the life.hawa wanaoongea -ve kuhusu maisha ya ndoa hawajapata hiyo nafasi
 
nina zawadi yako ya xmass
 
Watakavyo chukia baada ya kusoma hili andiko [emoji3] . Anyway, watakuelewa tu.
 
Billions of likes na makiss kibao. We una akili sana sema basi tu. Umeongea maneno mazito sana dada yangu.... Sana. Mi huwa nakaa pemben nawacheck wale wanaosema eti kwa sasa hawatak wanaume kumbe wao ndo hawatakiw. Mtu umri ameshafika jioni... Na wanaume tunachagua sana. Acha tu wawe maids na stage show wa kwaito. By the way naweza pata namba yako ya simu ili nimpigie mumeo kupitia simu yako kumpongeza kuwa amepata mke? Thank yu

 
Mimi ni mwanamke my dear.ila nina kaka na wadogo zangu wakiume aisee kaka washaoa bado wadogo zangu nina waonea huruma sanaa.maana hii mitandao imebadilisha roho za watu sana...mama zetu mbona waliweza jamani
Unamiaka mingapi?
 
Mwanaume uingie kulala umkute mkeo kalala uchi hasira zinahama lazima utaomba game tu au usiku umelala unasikia umeguswa na tako lazima upapase
Hahahh yaani hata utoke na uchovu wa namna gani kazini na mihangaikoni kwa ujumla,ukifikiria kukumbatiwa KIHALALI yaani na mume wako ambaye hadi mchungaji anajua mnachofanya hahahahah ni raha sana
 
Du hatari sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…