Kama umeolewa, changanya na zako ukiwa humu JF

@GuDume hahaahah wewe kwa kuangalia fursa haha
 
Nimesoma bandiko lako ila bado nawaza wewe ni Ke? Thread yako imekaa kama imeandikwa na Me.

Wamekusikia ingawa umetumia maneno makali.
Maneno yake yamekungia

tuwe Mond na Zar basi.
 
Ndo unakuta miaka yasonga tu....
Sasa me kaanza tu kazi mf.utasubiri mpaka anunue magari ajenge nyumbani? Ngoja sie tulisongeshe huko huko mbele Mungu anajazilizia
 
Maisha ya ndoa si pesa wala nyazifa za mtu jamani....ila humu wewe take a time tu utaona mitazamo ya wanawake wenzetu humu
Huwa ni maneno ya mkoswaji wanawapata waku starehe nao lakini wakusema tuishi pamoja inakuwa shida
 
Yaani Mrs Dee nimekupenda bure, huu uzi wako ni kweli tupu ila nani atakuelewa? na unadhani hata watapitia upande huu? watasoma na kusepa kimya kimya, hawacomment kitu hapa
 
Unahisi nimekuja humu kutafuta mume? Au unahisi wote tupo single?
Humu shoga...wanaume kama hao waanzisha thread huwa wanahisi wadada wa JF hawana wanaume / au hawajaolewa!

Haaa haaa mi nachekaga
 
Humu shoga...wanaume kama hao waanzisha thread huwa wanahisi wadada wa JF hawana wanaume / au hawajaolewa!

Haaa haaa mi nachekaga
Witness sina sababu yoyote ya kujiact mwanamke wakati mimi mwanaume,haitonisaidia lolote
Hata kama tunatumia id fake haibadilishi mioyo yetu.
Mimi na mwanamke na nimeolewa
 
Humu shoga...wanaume kama hao waanzisha thread huwa wanahisi wadada wa JF hawana wanaume / au hawajaolewa!

Haaa haaa mi nachekaga
Ha ha khaa basi kazi ndiyo maana wanajibiwa hovyo sababu ya vihere here vyao!!
 
Witness sina sababu yoyote ya kujiact mwanamke wakati mimi mwanaume,haitonisaidia lolote
Hata kama tunatumia id fake haibadilishi mioyo yetu.
Mimi na mwanamke na nimeolewa
Mkuu hapa itakua umejichanganya
 
Daaah bora sie wengine tuliojiamulia kuoa tu, huo mchambo umetupita kushoto.
Lol.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…